Msomaji wa asili ya Pakistan sauti yake nzuri na kisoma safi.
No Description
No Description
No Description
Shekh Jabir Yusuf Katura: Amemaliza masomo yake katika chuo kikuu cha kiislam Madina nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni mlinganiaji na khatwib katika Msikiti wa Ijumaa Mwanza, pia ni Mudir katika Markaz ya Thaqafah, Mwanza Tanzania.-
Shekh Juma Amir: Ni mlinganiaji na Khatib katika Msikiti wa Jamia Nairobi Kenya.-
Msomaji wa Misri mwenye sauti tamu, na mwenye kibali (ijaza) cha kumasomo visomo aina kumi, na ana nakala kadhaa za Qur'ani kwa riwaya mbalimbali.
Msomaji wa Morocco kipofu Mustafa maghribi, ambae husifiwa Morocco kuwa ni sheikh wa wasomaji, alizaliwa kwenye kijiji cha Craki kiongozi wa watoto Amrah Daaira bin Ahmed wilaya ya Satat mwaka 1964.
Kazaliwa Libya, kachukua nafasi ya pili kwenye mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu unaofanyika kwanye Emirate (Dubai).
Msomaji wa Algeria, na yupo na Koran yenye kutegemewa na Wizara ya Mambo ya Kidini Algeria kwa upokezi wa WARSH kutoka kwa Naafi kwanjia ya Asbahaani.