×
Image

IslamHouse.com - (Kiswahili)

IslamHouse.com ni mtandao mkubwa kwa kulingania katika Uislamu kwa kutumiya lugha za dunia, na ina vifaa bure katika lugha zaidi ya 100 na vitabu na kanda za redio na video na miundo ya Kiislamu na maombi na mengine https://islamhouse.com/sw/main

Image

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizofanyiwa Tarjama - (Kiswahili)

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zikizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi https://hadeethenc.com/app/#/list-categories?lang=sw

Image

Dini ya Kiislamu - (Kiswahili)

Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitiamaongezi.

Image

Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa - nguzo za uislamu - (Kiswahili)

Tovuti ya Al-Fiqh inaelezea sheria za Kiislam kama ilivyofunuliwa katika Quran na Sunnah. Inaonyesha Sheria ya Kiislamu kwa Matendo ya ibada kama vile swalah, Zakat, funga, Hajj, na nguzo za uislamu. Katika al-Fiqhi unaweza pia kupata vitabu vya Kiislamu, sauti navideo,fatwaa https://www.al-feqh.com/sw