Imad Zuhair Abdulqadir Hafidh: Amezaliwa katika mji wa Madina mwaka 1382 Hijiria, akapata elimu ya udokta katika chuo kikuu cha kiislam Madina mwaka 1412 Hijiria, alikua Imamu na khatwib katika Msikiti mkuu wa Manaratayn, na Msikiti wa Qubah, na alikua Rais katika jumuiya ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika mji wa....
Jazzai Bin Flaih Alswuweylh: Amezaliwa mwaka 1969, ni mmoja kati ya wasomaji maarufu katika Nchi ya Kuwait, na alimaliza masomo yake ya sheria na Qur'an na tajweed katika chuo kikuu cha Kuwait.
Shekh Yahya Ahmed Alhalily: Amezaliwa katika kijiji cha Alhalilah katika mji wa Swana'a Yemen mwaka 1952, alijiunga na Halaqa ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika Msikiti Mkuu wa Swana'a na akakamilisha kuhifadhi Qur'an tukufu mwaka 1962, kisha akasoma elimu ya visomo saba kwa wanachuoni tofauti mwaka 1973, na alifanya kazi ya....
Msomaji wa nchi ya Kuwait.
Shekh Basil Bin Abdul-Rahman al-Rawi: Amezaliwa Iraq katika mji wa Baghdad mwaka 1953, alimaliza masomo yake katika chuo kikuu cha Baghdad katika kitivo cha kanuni na siasa mwaka 1975 na alipata nafasi ya kwanza wakati huo, na wizara ya mambo ya nje ilimuomba afanye kazi kama diplomasia mwaka 1977, na....
Msomaji waki Saudi.
Mustafa Raad Al-Azzawi: Amezaliwa 19-4-1986 Adhwamiya Baghdad Iraq, alikua ni mwana chama katika jumuiya ya wasomaji wa tajweed wa Iraq na ameshiriki mashindano mengi tofauti tofauti, amefariki 26-5-2007, Mwenyezi Mungu amrehem.
yeye ni , Ahmed bin Mohammed bin Abdullah bin Moaidh Al-hawash imam na khatwibu wa Msikiti katika mji wa Khamis mshetw ya kusini mwa Saudi Arabia, alizaliwa katika mji wa Uhudi Rafidah mwaka 1374 AH.
Alizaliwa Julai 1982 katika kijiji cha Binyati Omarwabh eneo katika North Kordofan State, Sudan, ambaye ana shahada ya kutoka kwa msomaji Sheikh wa Al-Azhar Septemba 2009.
Shekh Mahmoud Ahmad Abdulhakam: Amezaliwa siku ya jumatatu sawa na 1February 1915 katika kijiji cha Karnak, amehifadhi QUR'AN Misri katika Chuo cha Azhar, na alishiriki katika kuanzisha umoja wa wasomaji wa Qur'an, alifariki siku ya jumatatu sawa na 13September 1982, Mwenyezi Mungu amrehem.