×
Image

Kamili Jaballah El Fashny

Msomaji kutoka Misri

Image

ATHUMANI SHEE

No Description

Image

Rashad Mohammed Sharif

Rashad Mohammed Bin Abdul Salam bin Abdul Rahman al-Sharif, alizaliwa katika mji wa Khalil Palestina mwaka 1925 M.Nanikatika wasomaji mashuhuri duniani,nanimsomaji wa msikiti mtukufu wa Aqsaa,na msikiti wa Al-ibrahimy katika mji wa Al-khalil,alihamiya jordan mwaka 2002,na alikuwa imamu katika msikiti wa mfalme Abdullah Al-Awal katika Abdali.

Image

Ibrahim Muhammad Al-Jermy.

Amezaliwa Libanon 1966,na amepata Na ana shahada ya udaktari(PHD)katika lugha ya kiarabu,na alipata shahada ya diploma yajuu,nastashahada katika masomo ya Kiislamu (masomo utaalamu)

Image

Nassor Khamis

-Shekh Nassor Khamis: Ni mlinganiaji maarufu nchini Kenya, na ni mtoa Darsa katika misikiti mbalimbali mjini Mombasa Kenya.

Image

ALLY ZUBERI

Shekh Ally Zuberi: Amemaliza masomo yake kitengo cha Hadith katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni mlinganiaji katika Mkoa wa Tanga na ni khatwib katika Msikiti wa Darul Uluum, pia ni Mudiri wa chuo cha Darul Uluum Tanga Tanzania.-

Image

Al-Amin Ally Rajab

Shekh Al-Amin Ally Rajab amehitimu masomo katika chuo cha Maahad kisauni mombasa enya, na nimlinganiaji kenya na ni khatwibu katika msikiti wa Yusuf tudor Mombasa Kenya.

Image

Arafat Magmoud

Arafat Magmoud amesoma katika chuo cha Kisauni College akapata Degree katika masomo ya kiislam, ni khatwibu katika kituo cha Ibn Taymiya na nimlinganiaji katika visiwa vya Zanziba.

Image

Abuu Anasi Bwaluka

Shekh Abuu Anasi Bwaluka ni katika walinganiaji wa Ahlusuna waljamaa katika nchi ya Tanzania na nikhatwibu katika msikiti wa Answari Kilimanjaro moshi Tanzania.