Shekh Abuu Hashim Abdulqaadir amesoma katika chuo kikuu cha kiislam Madina na nimwalimu katika markazi Tawhiid na Madrasatul Al-Munawara Mombasa Kenya na nikhateibu katika masjid mula Mombasa Kenya.
Shekh Abuu Musa Abubakari Musa Kiza amehitimu masomo katika chuo cha Maahad Kisauni Mombasa Kenya nanikatika walinganiaji katika mkoa wa Tabora na nirais katika kituo cha kislam Kaloleni Tabora.
No Description
Shekh Ahmad Khalil Shahin
No Description
Imamu wa Msikiti wa Mtume Mtukufu
Shekh Abubakari Shabani Rukonkwa: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni mlinganiaji katika chanel ya TV Africa na ni Khatwibu katika misikiti ya Answar Tanga Tanzania.
Sheikh Yasini Twaha Hassani Mwenyeji wa Kigoma nchini Tanzania Mlinganiaji wa Dini ya Kiislam kasoma chuo kikuu nchini Saudi arabia (Riyadh) Elimu ya Sheria kitengo cha (usuluddin) pia nimfasiri wa vitabu vya kiarabu kwa lugha ya kiswahili, na muhadhiri katika TV Afrika swahili, na Imamu na khatwibu wa masjid Answar....
No Description