×
Image

Salim Qahtwani

-Shekh Salim Qahtwani: Amemaliza masomo yake ya Dini nchini Sudan, kwa sasa ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni khatwib ktika Misikiti ya Answar Tanga, pia ni mwalimu katika Maahad Imamu Shafii na Ummu Salama, Tanga Tanzania.

Image

MUHARAM IDRISA MWAITA

Shekh Muharam Idrisa Mwita: Amemaliza masomo yake katika kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika Tv Afrika.-

Image

Muhammad Abdulkariim

No Description

Image

Abdul Wadud Maqbuul Hanif

No Description

Image

Ahmad Al Zahran

Shekh Ahmad Al Zahran: Ni Muhadhir katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mkuu wa Da’awa katika taasisi ya World Assembly of Muslim Youth (WAMY) kwa nchi ya Tanzania, na anafanya kazi katika maktaba ya Jariyat Badia, Rayadh Saudi Arabia.

Image

Hilal Sheweji Kipozeo

Shekh Hilal Shaweji Kipozeo: Ni mlinganiaji maarufu katika nchi ya Tanzania, pia ni mtoa Darsa katika misikiti mbalimbali jijini Dar Es Salaam.

Image

Abulkariim bin Khalidi Al Harby

Mtafiti katika jumuiya ya Mabarh AL-AL & Sahaba Kuwaiti

Image

Abdurahmani bin Abdallah Al-Suhaym

Abdurahmani bin Abdallah Al-Suhaym kazaliwa katika kijiji cha Basra katika mji wa Burayda Qswim, amehitimu katika Imamu muhamad bin saud islamic University, anafanya kazi ya Daawa chini ya wizara ya mambo ya kiislam na Daawa. (The Ministry of Islamic Affairs, Endowments, Call and Guidance).