No Description
Swaleh Al-Zahran amemaliza masomo katika chuo cha Imamu muhamad bi saud University na ana juhudi za Daawa africa mashariki.
Hasan Muhammad Swalih: Ni msomaji Mmisri amezaliwa sehem iitwayo Mahmudiyyah katika mji wa Buheyrah, amehitimu masomo katika Maahad, na akasoma elimu ya visomo kumi, na akajiunga na kitivo cha elimu ya Qur'an, nae ni Imamu katika Markaz ya kiislam katika mji wa New York
Shekh Muhammad Bawazir: -
Shekh Salim Bafadhili: Ni naibu Mudiri katika taasisi ya Answar, na ni mwalimu katika chuo cha Maahad Imamu Shafii na Ummu Salama, pia ni mlinganiaji katika misikiti ya yote ya Answar Tanga Tanzania.
Msomaji wa asili wa Yemen, naye ni imamu na khatwibu wa msikiti wa Khalid bin Walid Al-Rayyan, Qatar.
Kazaliwa Makkah, na ana Shahada ya Kwanza ya Qur'an Mafunzo ya Chuo cha Walimu Jeddah, nae ni mmoja wa maimamu wa misikiti Jeddah, Saudi Arabia.
-Shekh Saidi Mtatuu Mango: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mlinganiaji katika mji wa Singida.
Sheikh Hamza Rajabu Seyfu ni mmoja katika walinganiaji wa mji wa Mwanza nchini Tanzania kamaliza chuo kikuu nchini Saudi arabia kitengo cha Sheria (Usuluddin) ni Imamu na khatwibu katika masjid Taqwa jijini Mwanza yupo katika manhadi ya salafu sswaleh.
No Description