×
Image

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al-Usulu AL-Thalathah - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazungumzia masomo katika umuhimu wa Tawhiid kimezungumzia: Walaa na Balaa, na uislam ndio dini ya nabii Ibrahim, Niwajibu kwa Mwanadamu amuabudu Mwenyezi Mungu peke yake, jambo kubwa alilo amrisha Mwenyezi Mungu waja wake ni Tawhiidi, na Nini maana ya Tawhiidi.?

Image

AQIDA YA AHLU SUNNA WAL JAMAA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Aqida ya Ahlu Sunna wal Jamaa.

Image

FADHILA ZA KULA DAKU - (Kiswahili)

Makala hii inazungumzia: Fadhila za kula daku na kwamba Allah pamoja na Malaika humtakia rehma mtu mwenye kula daku, pia imezungumzia ubora wa kuchelewesha kula daku.

Image

RIBAA - (Kiswahili)

Kitabu hii kinazunguzia riba na uharam wake