×
Image

Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Sheria aliyokuja nayo Mtume (s.a.w) na kwamba ndiyo iliyokuja kufuta sheria za nyuma, na kwamba nisheria inayo simamia haki zote, pia inazungumzia umuhimu wa kuamrisha mema na kukataza mabaya. 2- Mada hii inazungumzia: Faida na muhimu wa mahakama ya Qadhi na kwamba sheria ya kiislam inajulikana....

Image

Yajue Makundi Ya Kishia Na Chimbuko Lake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Makundi ya Kishia na chimbuko la kila kundi,na namna walivyo tofautiana na viongozi wao.

Image

Majibu Juu Ya Madai Ya Mashia Kuwa Mtume (S.A.W) Alizikwa Na Watu Tisa - (Kiswahili)

Mada hii inafafanua: Uhalisia wa namna Mtume (S.a.w) alivyozikwa, inafafanua pia namna alivyozikwa Fatwima Binti Rasuli LLah (R.a), kinyume na wanavyopotosha Mashia.

Image

Upotoshaji wa mashia kuhusu bai’a ya ally bin abi twalib kwa abubakar swidiq (r.a) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzushi na propaganda za Mashia kwa Maswahaba (R.a) hasa kwa Abubakar na Omar (R.a) katika kutowa mkono wa utii kwa Abubakari.

Image

Ni Akina Nani Walimfuata Abdillahi Bin Sabaa ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Watu waliomfuata Abdillahi Bin Sabaa, pia Shekh anajibu maswali na kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu Mashia.

Image

Mashia Wanaitakidi Kuwa Quraan Inamapungufu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Madai ya Mashia kuhusu Qur’an tukufu yakwamba Maswahaba walipunguza baadhi ya Aya na Surah katika Qur’an wakati wa kuikusanya.

Image

Unapatikana wapi msahafu wa mashia ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Madai ya Mashia kwamba wana Msahafu wenye ziada ya sura na ayah kuliko Msahafu huu tulionao, akinukuu shekh kutowa katika vitabu vya mashie, na nikatika maswali yasiyo jibika.

Image

Mashia Walimfanya Ally Bin Abi Twalib (R.A) Kuwa Ni Mungu Akawachoma Moto - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya Yushaa Bin Nuni, na asili ya Abdillah Bin Sabaa, inazungumzia pia namna Mashia walivyo mfanya Ally Bin Abi Twalib kuwa ni Mungu.

Image

Historia Inathibitisha Kuwa Mashia Ni Maadui Wa Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uadui wa Mashia dhidi ya Uisilam na Waislam, na kwamba Mashia wanafanya sana taqiyya, pia imezungumzia Ahlul bayti ni akina nani

Image

Uhatari Na Upotevu Wa Mashia - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Uhatari na potofu la kishia, imezungumzia historia fupi ya Mtume (S.a.w) na Maswahaba wake (R.a) 2- Mada hii inazungumzia: Namna mayahudi wa Madina walivyoungana katika vita ya Ahzab, na makabila yaliyoritadi, inazungumzia pia historia ya Makhalifa waongofu kwa ufupi, na huo ndio mwanzo wa kupatatikana Mshia.....

Image

Maana Ya Ushia Na Chanzo Chake - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya neno "Shia" kilugha na kisheria, na namna lilivyotajwa katika Qur’an Tukufu. 2- Mada hii inazungumzia: Ni nani Shia kwa mujibu wa wanachuoni wao, na kwamba ili uwe Shia lazima ukatae Uimamu wa Abubakar, Omar na Othmani (R.a). 3- Mada hii inazungumzia: Kujitokeza kwa Abdillahi....

Image

Wajibu Wa Kumtii Mtume S.A.W, Na Kulazimika Kuwa Katika Jamaa Ya Waislamu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mambo yafuatayo: umuhimu wa kuwatii viongozi, fitina za zama za mwisho na maana halisi ya jamaa.