×
Image

Sampuli Za Jihadi Katika Njia Ya Mwenyezi Mungu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia aina za jihadi,akasema shekh kuwa jihadi ina aina mbili :Jihadiya kujitetea, na Jihadi ya ilio tangazwa na Kiongozi.

Image

Siku Ya Arafa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, ubora wake, nakwamba Allah anashuka na kuwasogelea kwa waliosimama katika viwanja vya Arafa, na Allah anajifakhari kwa malaika, na yanayo takiwa kufanywa nawale ambao hawako katika viwanja vya Arafa.

Image

Yapi Tuyafanye Katika Mwezi Wa Ramadhan Ili Tuwe Tumefunga - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo yanayoifanya swaumu iwe sahihi na yanayoifanya swaumu kuwa si sahihi, pia imezungumzia umuhimu wa kujiepusha na uongo, kusengenya, na dhulma na vikao vya kipuuzi ndani ya mwezi wa Ramadhani.

Image

Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri. 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya....

Image

Ukweli - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Ubora wa mtu kuwa mkeli, na kwamba ukweli ni katika sharti za laa Ilaha ila Lllah, na ukweli ni utulivu wa nafsi bali uongo ni mashaka, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya mambo kwa ajili ya Allah. 2- Mada hii inazungumzia: Alama za watu wakweli, kama vile....

Image

Majibu Kuhusu Arafa Na Iddi Al- Dhha - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, maana yake na umuhimu wa kuomba dua katika siku hiyo, na amejibu kuhusu utata juu ya siku ya arafa na siku ya Iddi al Adhha nawale wasiofunga siku ya arafa bali wanafunga siku ya kuchinja. 2- Mada hii inazungumzia Majibu ya utata wa....

Image

Kufikia Malengo - (Kiswahili)

1- Khutuba ya Iddi amezungumzia neema ya kuwa na uongofu nakufikishwa katika mwezi wa Ramadhan, na wepesi wa kumalizika umri, na kwamba Ramadhani nishule, na malengo ya swaumu niuchamungu, na kulifikia lengo hilo nikufanya mema baada ya Ramadhani. 2- Khutuba ya Iddi amezungumzia sababu za kufuata makundi yalio potea na....

Image

Kughafilika Kwa Mwanadam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna mwadamu alivyojisahau katika duania, na kusahau kwamba ipo siku atatolewa roho yake, imezunguzia sifa za waja wema walio faulu duniani na akhera

Image

Uongofu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ungofu ni katika neema kubwa za Allah, na binadamu akikosa uongofu huingia katika upotevu, imezungumzia pia kwamba maisha ya dunia ni starehe ndogo sana, na nyoyo zimekua ngumu kwasababu ya tamaa za dunia.

Image

Nasaha Muhimu Kwa Mume Katika Ndoa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sheria ya kuoa wake zaidi ya mmoja na uadilifu katika kutekeleza haki za wake, na chanzo cha kukataa mke kuongezewa mke wa pili, na msimamo na subra kwa alie ongeza mke wa pili. 2- Mada hii inazungumzia:Utukufu wa ndoa na nasaha muhimu kwa mume katika kuoa, pia....

Image

Majibu Ya Ahlu Sunna Kwa Mashia Juu Ya Kusherehekea Krismasi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia majibu kwa Mashia juu ya kusherehekeya kwao Krismas na hukumu ya kisheria ya uharam wa kusherehekea krismasi.

Image

Da’awa Ya Haqi Inapiga Vita Makundi Ya Kisiasa,Naubaguzi - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Da’awa ya haki inapiga vita makundi ya kisiasa, imeongelea pia aina za makundi na misingi ya da’awa ya kisnna.