×
Image

Hatari Ya Ushirikina 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubaya wa ushirikina na haatari ya kumsingizia mwanamke uchafu wa zinaa na kwamba uislamu umelinda hadhi na heshima ya mwanamke, pia imezungumzia maana ya msemo: “Hakuna anae towa fatwa na Imamu maliki akiwa madina”.

Image

Araheeq Al-Makhtum 35 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea hali ya waislamu na jamii ambazo wanazi ishi nazo.

Image

Araheeq Al-Makhtum 34 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea namna baadhi ya waislamu walivyo potea na kufuata maadili yasiyo kuwa ya kiislamu.

Image

Araheeq Al-Makhtum 33 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea baadhi ya maeneo ya kihistoria ya kiislamu.

Image

Araheeq Al-Makhtum 32 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea hali ya kida’waa (ulinganizi) katika inchi ya ethiopia.

Image

Araheeq Al-Makhtum 30 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea hijra ya kwanza ya waislamu kuelekea habasha (Ethiopia) na faida zinazo patikana katika kisa hicho.

Image

Araheeq Al-Makhtum 29 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea kuwa uovu huondolewa kwa kufanya wema.

Image

Araheeq Al-Makhtum 28 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea athari na adhabu ya anaeacha kuswali.

Image

Araheeq Al-Makhtum 27 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea umuhim wa kulingania kwajili ya Allah kwa wepesi na ulaini.

Image

Araheeq Al-Makhtum 26 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea faida zinazopatikana kwenye kisa cha Swahaba Suhaib Alrumi na namna alivyokuwa na subra kwajili ya Allah.

Image

Araheeq Al-Makhtum 25 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea namna Abuu Jahl alivyokuwa akimchukia Mtume Muhammad (s.a.w) na maudhi aliyokuwa akimfanyia.

Image

Araheeq Al-Makhtum 24 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea namna mke wa Abuu Lahab kumchukia Mtume Muhammad (s.a.w).