×
Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 5 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyosafiri, pia imeelezea msaada aliokua akitoa Mtume (s.a.w) katika safari zake.

Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 4 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utukufu wa swala ya Ijumaa, pia imeelezea kuwa ni lazima kwa mwenye kuwajibikiwa na Ijumaa kuhudhuria na kuswali swala ya Ijumaa.

Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hukumu ya muislamu kusafiri siku ya Ijumaa na amebainisha qauli sahihi katika kujuzu kusafiri siku ya Ijumaa.

Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyokua akianza safari na dua aliyokuwa akisoma wakati akitoka nyumbani.

Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Adabu za safari katika uislamu, pia imezungumzia umuhimu wa kuheshimu vipando na kuwahurumia wanyama tunaowatumia katika kubeba mizigo.

Image

Maeneo Yenye Historia Makka Na Madina - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia khasara tatu za muislam,na utukufu wa makkah na madina na maeneo yenye historiya katika mji mituku wa maka na madina na mazingatio katika sehemu hizo.