×
Image

Wanachuoni Wetu Wa Africa Mashariki - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia historia ya wanachuoni wa africa mashariki ambao walio toa mchango mkubwa katika uiendeleza dini ya allah.

Image

Haki Za Maiti - 2 - (Kiswahili)

Haki Za Maiti - 2: Mada hii inazungumzia haki za maiti kwa vitendo.

Image

Haki Za Maiti - 1 - (Kiswahili)

Haki Za Maiti - 1: Mada hii inazungumzia haki za maiti kwa vitendo.

Image

Wakati Wa Kumaliza Swaumu ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia muda ambao anatakiwa kufunguwa mfungaji.

Image

Wakati Wa Kuanza Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hali ya waislam wakwanza katika kufunga,na wakati wakuanza kufunga,na toauti baina ya alfajiri yakweli na alfajiri ya uongo.

Image

Hukumu Za Zakatul Fitri - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hukumu za zakatul fitri,na vyakula vinavyo faa kutolewa zakatul fitri,faida za zakatul fitri,nawatu wanaopaswa kupewa zakatul fitri.na muda wakutolewa zakatul fitri.

Image

Alama Za Laylatul Qadri - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia alama za laylatul qadri,na alama batili za laylatul qadri,na hukumu za itikafu.

Image

Uwajibu Wa Swaumu Ya Ashuraa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hukumu ya alie kula na kunywa bila kujuwa kama niramadhani,na hukumu ya alie jua baada ya kuamka asubuhi kua niramadhani.

Image

Utukufu Wa Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia utukufu wa swaumu katika fidia za makosa mbalimbali,na maajabu ya pepo ya wafungaji(arayaan).

Image

Kisimamo Katika Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia qiyamu layli,ubora wake na namna ya kuswali,na ulazima wa kuwali kisimamo cha usiku.

Image

Fadhila Za Kufunga - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia fadhila za swaumu,na dalili zilizo kuja kueleza ubora wa swaumu,na nguvu za swaumu katika kuziwiya madhambi.

Image

Swala Ya Tarawehe Na Zaka Ya Fitri - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia swala ya tarawehe, na tofauti ya tarawehe na qiyamu layli, na tahajudi na witri,na muanzilishi wa tarawehe,na historia yake.na hukumu ya zakatul fitri.