×
Image

Mambo Yenye Kuharibu Swaumu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia venye kufunguza swaumu,sindano ao kumuingilia mkeo kwa kusudi,nahukumu ya kulipa deni la ramadhani,na mwenye kufa akiwa na swaumu ya nadhiri.

Image

Kula Daku Na Fadhila Zake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kula daku na fadhila za kula daku,na daku bora kwa muislam,na uchache wa daku,hukumu ya kuchelewesha daku.

Image

Kafara Na Fidiya Kwa Mwenyekufungua - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kafara kwa mwenyekumuingilia mkewake mchana wa mwezi wa ramadhani,na utaratibu wa kulipa fidia,na hukumu ya mwanamke mjamzitu katika mwezi wa ramadhani.na usiku wacheo.

Image

Niwakati gani anafungua alie funga ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia rehema ya allah kwa waja wake wadhaifu,na swaumu ya mwnye mimba na anae nyonyesha.na wakati anao takiwa kula alie funga swaumu.

Image

Uwajibu Wa Swaumu Ya Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uwajibu wa kufunga swaumu ya ramadhani,na hatuwa za kufaradhishwa swaumu,na nguzo za uislam,na uhimizo wa kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani.

Image

Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mambo yaliyo ruhusiwa kwa alie funga kuyafanya,kama kuamka na janaba,na kupiga mswaki,nayoote yasio funguza katika quraan na sunnah.

Image

Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mambo yaliomo katika ramadhani,na mambo yanayo takiwa kabla ya ramadhani,na yanao paswa kwa muislam baada ya kuonekanwa kwa mwezi,na uharamu wa kufunga siku ya shaka.