×
Image

Utamu wa ndoa 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sababu za mwanamke kuwa na kiburi katika nyumba, pia imezungumzia hatari kwa mwanamke mwenyekutaka kuwa juu ya mumewe ndani ya ndoa.

Image

Utamu wa ndoa 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanamke kutulia nyumbani kwake na kujiepusha na marafiki waovu, pia imezungumzia hatari ya maasi.

Image

Utamu wa ndoa 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utulivu katika ndoa hauwezi kupatika mpaka mume na mke wawe watu wema, pia imezungumzia umuhimu wa mwanamke kujitahidi kumtii na kumridhisha mumewe.

Image

Utamu wa ndoa 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya wanawake wanaojua majukumu yao na wasiojua, pia imezungumzia hatari ya mwanamke asiyetulia nyumbani kwake mzurulaji

Image

Utamu wa ndoa 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa mwanamke kujiepusha na uvivu pamoja na kujitahidi kuamka mapema na kushughulika na taratibu za nyumba yake

Image

Utamu wa ndoa 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari ya mume kumdhalilisha na kumtukana mke na kwamba ni muhimu kuchunga mipaka na kumfanyia mazuri mke, pia imezungumzia ubora wa kujiepusha na kuangalia vitu visivyo halali yako.

Image

Utamu wa ndoa 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayoleta utamu katika ndoa ni mwanaume kumshukuru mkewe kwa yale mazuri anayomfanyia, pia imezungumzia umuhimu wa wana ndoa kuwa na subra na uvumilivu.

Image

Utamu wa ndoa 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa tabia nzuri kwa mwanamume ndani ya nyumba, pia imezungumzia umuhimu wa mwanaume kuweka muda maalum kwa ajili ya kukaa nakujumuika na familia yake.

Image

Utamu wa ndoa 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yenye kuleta utamu katika ndoa ni mwanamke kumtii mumewe, pia imezungumzia ukamilifu wa twaa na faida zake.

Image

Utamu wa ndoa 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utamu wa ndoa, na kwamba ili mtu apate ladha na utamu wa ndoa sharti atafute mwanamke au mwanaume mwema, pia imezungumzia umuhimu kwa wanandoa kusameheana ktk ndoa.

Image

Utamu wa ndoa 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayoleta utamu katika ndoa ni wana ndoa kusitiriana kutokana na mapungufu pamoja na kusifiana katika mazuri, pia imezungumzia umuhimu wa kuombana msamaha.

Image

Utamu wa ndoa 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa utamu wa ndoa ni mwanamke kujipamba na tabasam pamoja na kumkumbusha mumewe mara kwa mara katika kutafuta rizki ya halali, na ayafanye hayo kwa ikhlas ili kupata radhi za Allah.