×
Image

Chimbuko la amani na msingi wa mshikamano - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia chimbuko la amani,na misingi ya mshikamano.

Image

Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Uzito wa dhambi ya uzinifu na kwamba ni katika madhambi makubwa yenye kuangamiza, pia imezungumzia makatazo ya Allah juu ya uchafu wa zinaa na kuto kuikaribia zinaa, pia amezungumzia nyumba za zinaa. 2- Mada hii inazungumzia: sifa za watu wema na adhabu za wazinifu, kisha amebainisha....

Image

Elim Ya Sheria - (Kiswahili)

Mada hii nazungumzia ubora wa elim ya sheria ya Dini ya kiislam, na umuhim kusoma elim nyingine.

Image

Kubainisha Haki - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusimama na kuitangaza haki, na kwamba kuibanisha haki ni wajibu kwa wenye elimu na ni sababu ya msingi katika kuihifadhi dini na hukumu zake, imezungumzia pia namna Mtume (s.a.w) alivyoibainisha haki

Image

Kuondoa Munkar (Uovu) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kuondoa uovu na hatuwa zake.

Image

Kuiendea Fitnah - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia fitna zilizoenea katika zama na namna ya kijiepusha.

Image

Kudum Katika Mema - (Kiswahili)

Mada hii nazungumzia umuhimu wa kufanya ibada na mambo mema katika muda wote wa uhai

Image

Khutba Ya Ndoa - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea umuhimu wa ndoa.

Image

Umefaulu muislam - (Kiswahili)

Khutba ya idi inazungumzia muislam alie fanikiwa na kwamba uislam ndio dini ya haki,na maaduwi wa uislam katika historia,na habari njema kwa waislam.