×
Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kufanya uadilifu ndani ya ndoa na namna Aisha (r.a) alivyojifakharisha kwa Mtume (s.a.w) wakati wa uhai wake na kabla ya kufa kwake (s.a.w), pia imezungumzia tukio la kufa Mtume (s.a.w).

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya nafasi ya usafi katika Uislamu ikiwemo Sunna ya kupiga mswaki, pia imezungumzia ubora na umuhimu wa maisha ya ndoa.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Dua alizoomba Mtume (s.a.w) ili Allah amkinge na Moto wa Jahanam na Adhabu za kaburini, pia imezungumzia miongoni mwa sababu za watu kuadhibiwa kaburini.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Watu aina mbili ni watu wa fitina kubwa ni wajibu kwa Muislamu kujiepusha nao, pia imezungumzia umuhimu wa kuchukua tahadhari wakati wa ikukidhi haja.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya suna, na umuhimu wake na daraja zake, na kwamba Sunna zimegawanyika namna tofauti katika maamrisho na makatazo, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kusengenya na kugombanisha watu.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kufaulu ni juu ya wanaomtii Allah na Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika kila jambo.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Neema ya kuletwa Mtume (s.a.w) akiwa ni rehma kwa walimwengu wote na umuhimu wa kushukuru juu ya neema uislamu, pia imefafanua maana ya khutbatul-haja .

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 154 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hukumu za kunyanyua mikono katika khutba na katika swala, pia imeeleza sehemu zinazo takiwa kunyanyua mikono.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 073 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama, pia imeelezea umuhimu wa kuacha maasi na kurudi kwa Allah

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 116 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa sababu za mtu kuacha kwenda kuswali Swala ya jamaa ni khofu, maradhi na mvua nk. Pia imeelezea ubora na fadhila za Misikiti, wa kwanza ni Msikiti wa Makkah kisha Msikiti wa Madina.

Image

Jinsi Ya Kumuadhimisha Mtume - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia namna ya kumtukuza mtume s.a.w.na kumuheshimu mtume na taratibu za kumtakia rehma.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 109 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Daraja anazopata mwenye kuswali swala ya jamaa, na faida za kuiwahi takbira ya kuhirimia.