×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 101 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Umuhimu wa Sijda ya kisomo (sijdatu tilaawah) na namna ya kusujudu Sijda ya hiyo ndani ya swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 100 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Swala za Sunna zilizo za sababu na nyakati zake, pia imeelezea sijida ya kisomo (sijidatu tilawa) na umuhimu wake

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (32) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Alama za kukubaliwa tawba, kisha amebainisha hali ya malaika katika kuandika mema na maovu kwa mwanadamu.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (31) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: mwenye kutubiya ana inufaisha nafsi yake, na tawba nisababu ya kupata rizki.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (30) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: mambo ya wajibu kwa muislam baada ya kufanya tawba, kisha imebainisha kuwa Allah anafurahi tawba ya mja na anaikubali.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (29) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: kwamba mwenye kutubia Allah anabadilisha maovu yake kuwa mema, kisha ameelezea khatari ya madhambi makubwa.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (24) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: sababu za kuingia peponi, kisha amebainisha uwajibu wa kusambaza elimu na kubainisha haki.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (15) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sharti za tawba yakweli, kisha ameelezea uwajibu wa kushikamana na ibada kwa marais na wafalme na maaskari.

Image

Mawlid – Historia Yake, Hukmu Na Kauli Za Maulamaa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Historia ya Mazazi ya Mtume Rehma na amani za Allah ziwe ju yake, na hukumu ya kusherehekea na Qauli za Wanachuoni kuhusu maulidi.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (28) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Matunda ya tawba, na ameeleza kuwa tawba nisababu ya mafanikio katika dunia na akhera.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (27) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: namna walivyo tubiya mitume wa Allah kama nabii Yunus alayhi salaam, kisha akabainisha kuwa mja kuacha kutubiya ni kuidhulumu nafsi yake.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (26) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: kuwa bawba ni njia ya Mitume, kisha amebainisha kuwa uadui wa Shetani na mwanadamu ulianza tangu kwa Adamu alayhi salaam.