×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 41 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nini afanye mtu ambae kumeadhiniwa haliyakuwa yupo ndani ya msikiti, pia imeelezea mambo yanayotakiwa kutekelezwa kabla ya kuingia katika swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 40 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Dua baada ya adhana, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba dua baada ya adhana na kuwaombea wazazi, watoto na wengineo katika uislamu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 39 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kumswalia Mtume (s.a.w) baada ya adhana, pia imezungumzia fadhila anazopata mwenye kumswalia Mtume (s.a.w).

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 38 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo ambayo yanamuhusu Muadhini, pia imezungumzia namna ya kumfuatisha muadhini wakati anapotoa adhana.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 37 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Adhana ya Bilali (r.a) na Adhana ya Abii Mahdhura (r.a), pia imezungumzia mpangilio wa Adhana.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 36 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hukumu ya kuadhini ukiwa twahara, pia imezungumzia ubora wa kuadhini kwa sauti nzuri.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 35 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuadhini katika mazingira yoyote, pia imezungumzia ubora kukubali na kufuata haki.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 34 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kutoa Adhana anaombewa msamaha na kila chenye kusikia Adhana hiyo, pia imeelezea mitihani wanayopata waadhini wa zama hizi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 33 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora wa Adhana na malipo anayopata Muadhini, pia imeelezea umuhimu wa kwenda mapema msikitini.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Adabu na utaratibu wa kuelekea katika swala, pia imeelezea umuhimu na ubora wa safu ya mbele kwa mwanaume.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 31 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sharti za swala ni kuondoa najisi na kuelekea qibla, pia imeelezea umuhimu wa kusafisha nia katika ibada.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 30 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sharti za swala ni kusitiri utupu (uchi), pia imeelezea umuhimu wa kuchunga mavazi ndani na nje ya swala.