×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 29 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa shariti za swala ni kuingia kwa wakati, pia imezungumzia nyakati za swala na namna ya kuhifadhi swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 28 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Tofauti ya kuadhini na kukiqim swala, pia imeelezea umuhimu wa kuzijua sharti za swala ili kuswali kama inavyotakiwa.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 27 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kuadhini kisunna na utaratibu wake, pia imeelezea bid’aa zinazozushwa ndani ya adhana.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 26 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa swala na hasara ya mtu asie swali, pia imezungumzia maana ya adhana na idadi ya waadhini wa Mtume (s.a.w).

Image

Pepo na Moto 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu watakaopata adhabu kali ya Moto wa jahannam ni walaji wa riba, wanachuoni waovu na viongozi madhalimu.

Image

Pepo na Moto 27 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Watu ambao Mwenyezi Mungu amewaandalia Moto wa jahannam, pia imezungumzia watakavyo tamani watu wa Motoni.

Image

Pepo na Moto 28 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina za adhabu Motoni na mambo ambayo ni sababu kubwa ya kumuingiza mtu Motoni.

Image

Pepo na Moto 29 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu za kumuingiza mtu Motoni ni ukafiri, ushirikina na kuacha kuswali swala tano.

Image

Pepo na Moto 30 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari na mtihani juu ya watu wasiotoa Zaka na hali wanauwezo na kwamba ni sababu ya kujiingiza Motoni wenyewe.

Image

Pepo na Moto 31 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Miongoni mwa sababu za kumuingiza mtu Motoni ni uovu wa zinaa pamoja na kuwaasi wazazi wawili.

Image

Pepo na Moto 26 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwalingania watu na kuwatahadharisha na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 24 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya swala kilugha na kisheria, pia imezungumzia umuhimu wa kusoma dini na kusimamisha swala.