×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 23 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya kufaradhishwa kwa swala tano, pia imezungumzia jinsi nyakati za swala tano zilivyo pangwa.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 22 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ulazima wa swala tano juu ya kila muislamu, pia imezungumzia mambo yasiyofaa katika swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 21 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kutayamamu na ni wakati gani mtu anatakiwa kutayamamu, pia imezungumzia mambo yanayo tengua tayamamu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 20 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kupaka maji juu ya khofu, sox, piopio na bandeji wakati wa kutawadha, pia imezungumzia sharti za kupaka.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 19 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo muhimu kwa muislamu kuyajua ambayo ni Sharti za udhu, faradhi za udhu na Sunna za udhu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 18 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora na faida za udhu, pia imezungumzia mambo ya uzushi katika udhu (kutawadha).

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 25 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwaelekeza watoto na kuwafundisha dini wakiwa na umri wa miaka saba, pia imezungumzia uzito wa swala na umuhimu wa kuisimamisha katika maisha.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 17 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayo tengua udhu ni mtu kumgusa mwanamke kwa matamanio.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 16 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kutawadha baada ya kula nyama ya ngamia, pia imezungumzia baadhi ya mambo yanayo tengua udhu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 15 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mtu kuwa na mashaka (wasiwasi) wakati wa kutawadha, pia imezungumzia namna ya kuondoa shaka na wasiwasi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina za udhu pia imefafanua juu ya kuswali swala tofauti kwa udhu mmoja au kutawadha kila swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kutumia maji machache na kujiepusha na israfu wakati wa kutawadha, na kwamba maji ni neema kutoka kwa Allah.