×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kupiga mswaki kabla ya kutawadha, pia imezungumzia adabu za kiislam katika kila jambo.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utaratibu sahihi wa kutawadha tangu kuandaa maji mpaka kumaliza kutawadha miguu miwili kama alivyofanya Mtume (s.a.w).

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hukumu ya kupaka maji kichwani kwa mtu aliyefunga kilemba wakati wa kutawadha, pia imefafanua namna ya kuosha miguu mpaka katika kongo mbili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna gani Mtume (s.a.w) alipaka maji kichwani wakati wa kutawadha, pia imefafanua ni jinsi gani aliosha masikio.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kuosha uso wakati wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kuosha mikono mpaka katika viwiko viwili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kuosha vitanga vya mikono wakati wa kutawadha, pia inafafanua namna ya kusukutua na kupandisha maji puani.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna na usahihi wa kutawadha, pia imefafanua jinsi ya kutia niya na kusema bismi Llahi wakati wa kutawadha.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na uwajibu wa kueneza udhu katika viungo, pia imezungumzia unyenyekevu katika swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na umuhimu wa kusoma na kujua alivyotawadha Mtume (s.a.w), pia imezungumzia ubora wa rakaa mbili Sunnat Al-wudhuu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Muendelezo wa fadhila za udhu na namna Mwenyezi Mungu anavyo mfutia madhambi mja wake kwa sababu ya udhu (kutawadha),

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Fadhila za udhu na daraja anayopata mtu aliyetawadha kisha akatembea kuelekea msikitini, na kwamba udhu ndio ufunguo wa swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kutawadha kama alivyo tawadha Mtume (s.a.w) kutokana na mafundisho ya Qur’an na Sunna za Mtume Muhammad (s.a.w).