×
Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 22 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wa kujibu maswali matatu aliyoulizwa na Abdallah bin Salam, pia imezungumzia namna Malaika Jibril alivyomjia Mtume (s.a.w) na kumpa majibu.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 21 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni makundi aliyo onyeshwa katika umati wake, pia imezungumzia miujiza aliyoacha ameisema na inaendelea kutokea mpaka kiyama kitasimama.

Image

LIWATWI NA HUKUMU ZAKE.1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari ya liwatwi na namna Mwenyezi Mungu alivyo angamiza kijiji (Sodom) kwasababu ya liwatwi

Image

KUKUMBUKA KIFO NO2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa ikhlaswi katika matendo, atakayoulizwa mwanadamu kaburini, na umuhimu wa kushikamana na Sunna.

Image

KUMBUKA KIFO NO1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuihesabu nafsi, madhambi yanayo sababishwa na simu, na hali za Maswahaba katika kuzihesabu nafsi zao.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 20 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameleza muujiza wa mtume kuwa amani itaenea, na itafunguliwa nchi ya Kisraa, na kuenea kwa mali, pia katika miujiza ya mtume ni kauli yake kuwa ukhalifa utakuwa miaka 30 kisha utakuwa ufalme.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 19 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameeleza miujiza wa kujuwa watu wa motoni na watu wa peponi, na alisema kuwa uislam utaenea duniani, kisha akawahusia watu waombe mwisho mwema,.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 18 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) amebainisha kuwa elimu ya ghaibu ni maalumu kwa Allah na anaweza kuwambia anao wataka katika mitume, kisha ametaja miujiza ya mtume katika mambo ya ghaibu, na amemaliza kwa kutaja aina za miujiza katika mambo ya ghaibu.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 17 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameelezea dua ya mtume kwa mama yake na Abuu Hurayra na kusilimu kwake, kisha amezungumzia maajabu ya dua ya Mtume (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 16 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) imezungumzia muujiza wa mtume katika vita vya Hunaini alipo rusha mchanga kila mtu ukampata kila adui ule mchanga wakakimbia, pia katika miujiza ya mtume ni miujiza ya dua, pia amezungumzia mujiza wa kuomba mvua.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 15 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ikiwemo na miujiza ya kulindwa na maadui, pia amezungumzia muujiza wa mtume na Abu Jahli pia mujiza wa mtume na Suraqatu Bi Maliki.

Image

ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusameheana.