×
Image

ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswali atayo uliza Masihidajali baada ya kutokea.

Image

ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo matatu yatakapo tokea milango ya toba itafungwa.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) ameanza kuzungumzia nafasi ya ukweli na uaminifu na umuhimu wa kutekeleza ahadi, pia ameeleza kisa cha safari ya nabii Issa na kijana wake, kisha akamalizia kwa kutaja mujiza wa mtume katika nyama yenye sumu aliyo kula.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea wakati akila chakula na Maswahaba wake na chakula kile kikawa kinamtaja Allah, pia imezungumzia muujiza wa mbwa mwitu kutoa habari za Mtume Muhammad (s.a.w) kwa mchunga mbuzi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotekea wakati wa kukidhi haja katika jangwa la Afiyah, pia imezungumzia muujiza ambao jiwe lilikua likimtolea salam Mtume (s.a.w) kabla ya kupewa utume.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni mti kushuhudia kuwa Allah ni mmoja na Muhammad (s.a.w) ni Mtume wa Allah mbele ya Bedui (Mwarabu wa mashambani), pia imezungumzia vitimbi alivyofanyiwa Mtume (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea kwa Abuu Ayyubul-Answar (r.a), pia imezungumzia kwa ufupi historia ya vita vilivyoteka Tabuki, na muujiza wa Mtume (s.a.w) uliotokea katika vita hivyo.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 06 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kukithirisha chakula yaani chakula kidogo kukifanya kingi, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) wa kukithirisha chakula uliotokea kwa Swahaba Abuu Twalha na Jabir (r.a).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:, ufafanuzi wa muujiza uliotokea katika sulhul-hudeybia, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) wa kutemea mate katika kisima kilichokuwa kime kauka maji na maji yakajaa.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ndani ya Qur’an aliyopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa kupasuka mwezi, pia imezungumzia miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kulizuia jua, na kutoa maji katika vidole vyake Mtume (s.a.w).

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza aliopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa Qur’an tukufu ambao unaitwa muujiza mkubwa, pia imezungumzia miujiza iliyomo ndani ya Qur’an, na namna makafiri walivyoshindwa kuleta mfano wa Qur’an.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ni kwa Mitume wa Mwenyezi Mungu na imebainisha tofauti kati ya karama na uchawi, na kwamba karama inakua kwa mtu mwema na uchawi ni kwa mtu muovu, pia inazungumzia miongoni mwa dalili za miujiza.