×
Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na imebainisha tofauti kati ya miujiza ya Manabii waliopita na miujiza ya Mtume Muhammad (s.a.w), pia imezungumzia tofauti kati ya muujiza na karama, na sababu ya Mitume kupewa miujiza.

Image

Nasaha za vitendo vya Hijja 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Siku ya Arafa na fadhila zake na kwamba Hijja haikamiliki bila ya kusimama Arafa na ni siku ambayo dua zinajibiwa, pia imezungumzia umuhimu wa kushukuru neema za Allah.

Image

KINGA YA SHETANI WAKATI WA KULALA NO2 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia namna ya kujikinga na shetani wakati wa kulala na faida ya kusoma aya za mwisho katika suratu Albaqra.

Image

NAMNA YA KUJIKINGA NA SHETANI WAKATI WA KULALA NO1 - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia adabu za kulala na umuhimu wa nia katika ibada na namna ya kujikinga na shetani

Image

HUKUMU YA KUSHEREHEKEA KRISMAS NA PASAKA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia hukumu ya kusherehekea krismas na pasaka na uharamu wa kuwapa pongezi au kupeyana zawadi.

Image

Matendo katika siku za mina (Tashriq) 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanywa katika siku za Minah nayo: kurusha mawe na kunyoa nywele nakuchinja, kisha amebainisha wakati anaotakiwa alhaji kuvuwa ihram, na inatakiwa kwa alhaji kukithirisha kumtaja Allah.

Image

Matendo katika siku za mina (Tashriq) 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Matendo yanayofanywa katika siku za Minah (ayyamu Tashriq) na namna ya kurusha mawe (Jamarat) pia imezungumzia umuhimu wa kulala mina kama alivyofanya Mtume (s.a.w) na ubora wa kujiepusha na uzushi.

Image

MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 4 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) akiwemo wa nne ni Ubayya Bin Kaab (R.a),mtaalam wa kusoma Quraan, na Zaid Bin Thabit mjuzi wa elimu ya mirathi,na Muadh Bin Jabal mtaalam wa halali na haram,na Abuu Ubaydah mwaminifu wa Umati Muhamad.

Image

MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa tatu katika wao ni Othman Bin Affaan (R.a) pi imezungumzia sifa maalum ya Othman (R.a)

Image

MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa pili katika wao ni Omar Bunil Khatwab (R.a), inazungumzia pia mambo makubwa aliyo yafanya katika dini.

Image

MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) wa kwanza wao akiwa ni Abubakar Swidiq (R.a), pia imezungumzia uzito wa imani aliyokuwanayo Abubakar (R.a)

Image

LIWATWI NA HUKUMU ZAKE.2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya liwatwi anapata laana ya Allah, na pia inazungumzia Malaika waliokwenda kuangamiza kaumu Lutwi (a.s) watu wa Nabii Lutwi..