×
Image

Hukumu Ya Mwanamke Kwenda Hijja Peke Yake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Haifai kwa mwanamke kusafiri peke yake kwenda Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hajji mpaka awe na mahram nao ni Baba, babu, watoto, mume nk. pia imezungumzia hadhi na heshima ya mwanamke

Image

Mipaka Maalum Ya Hijja Na Umra (Mi’qat) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mipaka aina tano maalum ya Hijja na Umra, na yanayostahiki kufanywa sehem hizo, pia imezungumzia kafara ya mtu aliyepita Mi’qat bila ya kuhirimia au kuvaa ihram

Image

Nasaha Kwa Mahujaji - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kutekeleza ibada ya Hijja na kwamba ni miongoni mwa ibada bora na nguzo ya tano ya Uislam, pia imezungumzia yanayofanya Hijja iwe sahihi ikiwemo kujifunza utaratibu wa Hijja, ikhlasi na kufuata sunna za Mtume (s.a.w)

Image

Fanya Mambo Manne Uingie Peponi - (Kiswahili)

Makala hii inazunguzia:Mambo manne mwenye kuyafanya yote kwa ujumla atapata pepo, miongoni mwa mambo hayo ni kufunga na kutoa sadaka na kumtembelea mgonjwa…

Image

Kufunga Katika Siku Ya Shaka - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Hukumu ya kuutangulia mwezi mtukufu wa ramadhani, na maana ya shaka ilio katazwa kufunga ndani yake, pia kaeleza mwanzo wa kufunga na kufungua, pia kaelezea uwajibu wa kufunga kwa mwezi wa kutangaziwa na waislam.

Image

Makosa Wanayo Fanya Wanawake Katika Minasaba Tofauti - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Makosa makubwa wanayo fanya akina mama katika kupeyana mafunzo au misiba au sharia, pia ametaja sifa ya mwanamke ambae ni Dayuth, kisha amezungumzia Umuhimu wa kukumbushana katika Dini.

Image

Chenye Kuvunja Starehe - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Kifo na mandalizi yake na mafanikio ya mwenye kufanya mema akiwa kaburini, pia kazungumzia maisha mapya kaburini, na uwajibu wa kufanya mema na kuacha maovu

Image

Baadhi Ya Makosa Katika Kuzika - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Baadhi ya makosa katika kuzika, na umuhimu wa kukumbushana na ubora wa kuijufunza ibada na kuisoma, na miongoni mwa makosa katika kuzika nikuweka mto wa maiti, na kufunguliwa sikio na kidole gumba, nakulifanya kaburi pembe nne.

Image

Faida Ya Malezi Mema - (Kiswahili)

1-Mada hii inazungumzia:Faida ya malezi mema, na amezungumzia kuwa Allah ndio mwenye kutowa watoto, na amezungumzia misingi ya kupata mototo mwema ikiwemo kuchaguwa mke mwema,na Haki za mtoto baada ya kuzaliwa. 2-Mada hii inazungumzia: Ubora wa kuwasomesha Quraan, na Uhatari wa kutowasomesha watoto dini matokeo yake watoto wanakua hali ya....

Image

Baadhi Ya Tabiya Za Zama Zamwisho - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia baadhi ya tabiya za zama za mwisho ikiwemo kuwatuka mashe,nakuwakufurisha watu.

Image

Adabu Za Kula Chakula - (Kiswahili)

• Mada hii inazunguzia Sunna Adabu za chakula na tofauti zao katika kupata rizki na hukumu za bismilahi katika kula. • Mada hii inazunguzia Adabu za kula na hukumu ya kudhihirisha bismilahi,na hukumu ya kuacha bismilahi. • Mada hii inazunguzia Adabu za kula chakula na hukumu ya kulamba chakula na....

Image

Umuhimu Wa Kumsomesha Mtoto Wako Quraan - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuwafundisha watoto Quraan