×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 112 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa kunyoosha swafu kama Malaika wanavyo nyoosha swafu mbele ya Mola wao, pia imeelezea ubaya wa swafu ya mwisho kwa wanaume.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 111 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa swala ya Alfajiri na swala ya Asri, pia imeelezea umuhimu wa swafu ya kwanza katika Swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 110 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Malipo ya mwenye kuswali Swala ya Afajiri kisha akamtaja Allah mpaka Jua likachoza ni sawa na malipo ya mtu aliyefanya Hijja na Umra.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 109 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Daraja anazopata mwenye kuswali swala ya jamaa, na faida za kuiwahi takbira ya kuhirimia.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 108 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa faida ya Swala ya jamaa ni mafunzo kwa yule asiyejua baadhi ya vitendo vya Swala, na usawa unaopatikana ndani yake baina ya tajiri na masikini n.k.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 105 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa dalili zinazoonyesha uwajibu wa swala ya jamaa, pia imezungumzia hatari ya kupuuza swala ya jamaa.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 104 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Kauli za Wanachuoni juu ya umuhimu na uwajibu wa Swala ya jamaa.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 102 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Umuhimu wa Sijda ya kushukuru (Sijdatu shukri) na wakati gani wa kusujudu sijda hiyo.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 101 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Umuhimu wa Sijda ya kisomo (sijdatu tilaawah) na namna ya kusujudu Sijda ya hiyo ndani ya swala.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 107 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Makosa ya baadhi ya watu kutoka Msikitini baada ya Adhana, pia imezungumzia kua swala ya jamaa nisababu ya kuleta umoja katika uislam.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 106 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Kisa cha kipofu Abdillahi bin Ummi Maktum na hukumu zinazo tolewa katika hadithi hiyo.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 103 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Nyakati tano zilizo katazwa kufanya ibada ndani yake, pia imezungumzia hukumu ya mtu aliyepitwa na swala kwa kusahau au kulala.