×
Image

MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 02 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, imezungumzia pia baadhi miujiza ya Mtume s.a.w

Image

MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kumpenda Mtume rehma na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na kisa cha Baitul Maamur.

Image

MUHAMMAD NIMJUMBE WA ALLAH 01 - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, na kwamba ummat Muhammad ndio utakuwa wa kwanza kuingia peponi, pia imezungumzia mambo 3 wasio na imani hawayapendi.

Image

Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mapenzi ya Allah juu ya waja wake na kwamba siku ya Arafa ni sababu ya waja kurudi kwa Mola wao pamoja na kulia sana, pia imezungumzia siku ya Arafa Allah anakuwa karibu na waja wake.

Image

Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora wa siku ya Arafa na kwamba ni siku ya kutubia na kuomba dua pamoja na kufanya tasbihi sana, pia imezungumzia umuhimu wa kuwa na yakini na kuto kata tamaa kwani Rehma ya Allah ni pana.

Image

Mambo yanayo takiwa katika hijja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nguzo za Hijja na yaliyo wajibu kufanya katika Hijja, pia imezungumzia aina za Hijja na yanayo fungamana nazo.

Image

Hijja ni Arafa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Inazungumzia maana ya Arafa na Aya iliyoshuka kwa Mtume (s.a.w) alipokuwa Arafa, pia imezungumzia Arafa ni siku ambayo watu wanaachwa huru na moto.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzito na ubora wa siku ya Arafa na jinsi inavyo fanana na siku ya Qiyama pia nikwamba mwenye kufanya Hijja anatakiwa akithirishe kufanya toba, pia imezungumzia umuhimu wa kuendelea kufanya matendo mema baada Hijja.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya Hijja azingatie kila kipengele katika vipengele vya Hijja, pia imezungumzia kuchunga matendo ya Hijja, kukithirisha dua pamoja na kukumbuka Akhera (Qiyama)

Image

UTARATIBU WA KULALA KIISLAM - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utaratibu wa kiislamu katika kulala, na umuhimu wa kusoma dua wakati wa kulala.

Image

FADHILA ALIZO PEWA MWANADAMU - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Fadhila alizopewa mwanadamu, na kuitumia vizuri neema ya macho na ulimi.

Image

Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mafungamano baina ya mkusanyiko wa siku za Hijja na siku ya Qiyama, pia imezungumzia anayefanya Hijja akumbuke mnasaba wa kumvisha sanda maiti na uvaaji wa ihram.