×
Image

Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia namna ya kutawadha,na kuoga,na kutayamamu,kupaka juu ya khofu,na jinsi ya kutawadha mgonjwa.pia namna ya kuswali,yanayo chukiza katika swala,na yanayo batilisha swala,na sijda ya kusahau,na hukumu ya mtu asie swali.

Image

Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia kumpwekesha allah,na umuhimu wa muislam kuwa na itikadi sahihi,na makosa yanayo pingana na itikadi sahihi.

Image

Uislam - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.

Image

Cheo cha Maswahaba - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia cheo cha maswahaba,na nafasi yao katika umma wa kiislam, na thamani yao kwa allah,na uwajibu wa kutetea heshima yao.

Image

Janga la Umbeya - (Kiswahili)

1. Mada hii inaelezea: Maana ya kusengenya (Umbeya) na kwamba ni katika madhambi makubwa, kisha amebainisha sifa za watu wenye umbeya, na kwamba nimtu washari, na ataadhibiwa katika kaburi lake. 2. Mada hii inaelezea hatuwa za kufanya katika kutibu maradhi ya Umbeya, na katika hatuwa hizo ni kuthibitisha habari unazo....

Image

Kuihesabu Nafsi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia Umuhimu wa kuwa mchamungu na hasara za kukosa uchamungu kisha akaelezea kuwa Mwaka mpya nimwaka wa kuihesabu Nafsi. 2. Mada hii imezungumzia ufupi wa umri wa mwanadamu, nakwamba ameumbwa kutokana na masiku, kisha akabainisha kuwa katika kuihesabu nafsi nikujuwa mema aliyo yafanya, na kwamba kuikaguwa nafsi....