×
Image

Masiku Bora Duniani - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Uchamungu, na maana ya khutbatu Alhaja, kisha akabainisha swala ya khusufu na Malengo ya khusufu. 2. Mada hii inazungumzia: Fursa ya kuyafikiwa na masiku bora duniani, kisha ametaja miezi mitukufu, na akaeleza ubora wa masiku hayo, na ubora wa siku ya Arafa. 3. Mada....

Image

Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri. 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya....

Image

Hija niwajibu kwa nani - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Hijja ni wajibu kwa Muislam ambaye ni baleghe mwenye akili mwenye uwezo tena mukalafu aliye huru, pia imezungumzia hasara ya mtu mwenye uwezo kisha akafa bila ya kuhiji. 2- Mada hii inazungumzia: Uzembe unaofanywa na baadhi ya waislam wenye uwezo katika kuitekeleza Hija na kwamba ni....

Image

Umuhimu Wa Ibada Ya Hijja Katika Uislam - (Kiswahili)

1- Mada hii inazunguzia: Umuhimu na nafasi ya Hijja katika Uislam na kwamba Hijja ni wajibu na inatekelezwa kwa ajili ya Allah peke yake, pia imezungumzia ruhusa aliyoitoa Mtume (s.a.w) ya kumfanyia Mzazi Hijja. 2- Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa hija na umuhimu wa kuwafanyia hija wazazi walio fariki, na....

Image

Kuharakisha Kutekeleza Ibada Ya Hijja - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Baadhi ya sababu za Muislam kuharakisha kuitekeleza ibada na nguzo ya Hajji, yakwanza nikuharakia kutumia nafasi ya kuwa na uwezo, sababu ya poli nikwamba hujuwi utakufa lini, pia amezungumzia sababu batili wanazo towa wasio taka kuhiji. 2- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu za muislam kuharakisha....

Image

Hazina Ya Allah - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia Ufalme wa Allah na kwamba anachukia pindi unapo acha kumuomba, na nahakika mwanadamu anapo ombwa anachukia, na anampa kila mwenye kumuomba na Allah ndio mmiliki wa mbingu na ardhi.

Image

Adabu Za Safari Ya Kuelekea Hijjah Na Umra - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Ubora wa kutia nia thabiti katika safari ili kupata malipo ya safari na malipo ya ibada ya Hijja, pia imezungumzia miongoni mwa sunna za safari kama vile kusoma dua mwanzo na mwisho wa safari kama alivyo fundisha Mtume (s.a.w)

Image

Aina Tatu Za Ibada Ya Hijja - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina tatu za ibada ya Hijja ambazo ni Tamatu’u, Kiran na Ifrad, pia imefafanua namna ya kutekeleza ibada hizo.

Image

Hukumu Ya Mwanamke Kwenda Hijja Peke Yake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Haifai kwa mwanamke kusafiri peke yake kwenda Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hajji mpaka awe na mahram nao ni Baba, babu, watoto, mume nk. pia imezungumzia hadhi na heshima ya mwanamke

Image

Mipaka Maalum Ya Hijja Na Umra (Mi’qat) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mipaka aina tano maalum ya Hijja na Umra, na yanayostahiki kufanywa sehem hizo, pia imezungumzia kafara ya mtu aliyepita Mi’qat bila ya kuhirimia au kuvaa ihram

Image

Nasaha Kwa Mahujaji - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kutekeleza ibada ya Hijja na kwamba ni miongoni mwa ibada bora na nguzo ya tano ya Uislam, pia imezungumzia yanayofanya Hijja iwe sahihi ikiwemo kujifunza utaratibu wa Hijja, ikhlasi na kufuata sunna za Mtume (s.a.w)

Image

Ukweli - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Ubora wa mtu kuwa mkeli, na kwamba ukweli ni katika sharti za laa Ilaha ila Lllah, na ukweli ni utulivu wa nafsi bali uongo ni mashaka, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya mambo kwa ajili ya Allah. 2- Mada hii inazungumzia: Alama za watu wakweli, kama vile....