×
Image

Cheo cha Maswahaba - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia cheo cha maswahaba,na nafasi yao katika umma wa kiislam, na thamani yao kwa allah,na uwajibu wa kutetea heshima yao.

Image

Uislam - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.

Image

Utukufu Wa Suratul Fatiha - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea ubora wa Suratul-fatiha na hatari ya kuipuuza Qur,an tukufu.

Image

Umuhimu wa Sunna - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna uislamu ulivyo na hali mbaya kwa sasa kutokana na watu kuacha Sunna za Mtume (s.a.w), pia imefafanua maana ya kushahidilia ya kwamba Muhammad ni mjumbe wa Allah. Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Utume, na kwamba Mitume wote (s.a.w) ni chaguo la Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia....

Image

Sifa Ya Swala Ya Mtume (S.A.W) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia nanma ya kuadhini na fadhila za adhana na sifa za muadhini,na ubora wa kusoma duwa baada ya adhana na sababu za kukubaliwa dua.na sifa ya swala ya mtume alayhi salam.

Image

Uislam nidini ya kati na kati - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uislam nidini ya kati nakati,yani nidini ya uadilifu, na namna uislam ulivyo piga vita ghuluu.mifano ya uadilifu wa mtume(s.a.w)na tofauti baina ya uislam na dini zingine potovu.

Image

Sherehe Ya Misingi Mitatu Ya Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sherehe ya misingi mitatu.

Image

Uislam Ndio Mfumo Sahihi Wa Maisha - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea namna jamii ilivyo vurugika na uislam ndio dini pekee ya kuweza kubadisha maadili.

Image

Msimamo Wa Uislam Kuhusu Kujiripua - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kujiripuwa na aina za kujitoa muhanga,hukumu ya kujitoa muhanga,na sababu za kujiripua na uislam wa mwenye kujiripua.

Image

Umoja Wa Kweli - (Kiswahili)

1- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia kuhusu umuhimu wa kujifunza dini na na faida za mshikamano pia amebainisha matunda ya umoja, na umoja ni suna ya mtume (s.a.w). 2- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia maana ya umoja na umoja wakweli katika Quraan na suna, pia amezungumzia....

Image

Wajibu Wa Kumtii Mtume S.A.W, Na Kulazimika Kuwa Katika Jamaa Ya Waislamu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mambo yafuatayo: umuhimu wa kuwatii viongozi, fitina za zama za mwisho na maana halisi ya jamaa.

Image

Mafungamano Ya Mwanadam Na Mola Wake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna Mwenyezi Mungu alivyo amrisha binadam wamuombe yeye, na umuhim wa dua, na subra katika mitihani ya Da’wa.