×
Image

Adabu Za Kuomba Dua - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia adabu za dua na masharti ya kujibiwa dua na jinsi alivyokuwa akiomba mtume -swala Allah alayhi wasalama- wakati wa kufungua swaumu na baada ya kufungua swaumu. 2. Mada hii inazungumzia adabu za dua yakiwemo mambo ambayo hutakiwi kumuomba Allah,na umuhimu wakumuombeya nduguyako moyoni. 3. Mada hii....

Image

Uzushi Katika Dini (Bidaa) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uzushi katika dini athari zake na hukumuzake.

Image

Umuhimu Wa Hisba Katika Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa hisba katika uislam,maana yake na uwajibu wa hisba na mfano wa hisba katika wakati wa mtume.

Image

Umuhimu Wa Elimu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa elimu ya dini na kubainisha haki ya mtoto katika kumsomesha elimu ya dini,na majukumu ya wazazi kwa watoto,khatari ya kusoma katika mashule ya kikafiri.

Image

Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu zinazo pelekea nyoyo za watu kuwa ngumu, ni watu kuzama ktika maasi kama vile uzinifu, ulevi, kutembea uchi na kuchanganyika wanaume na wanawake, pia imezungumzia sababu za bani Israil kuwa na nyoyo ngumu na kulaaniwa. 2- Mada hii inazungumzia: Waumini wa kweli kwamba....

Image

Twahara(Kujisafisha) - (Kiswahili)

Darasa hili linazungumzia hukumu ya kujitwaharisha na umuhimu wake,na athari za kuto kujuwa jinsi ya kujitwahara.

Image

Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Uzito wa dhambi ya uzinifu na kwamba ni katika madhambi makubwa yenye kuangamiza, pia imezungumzia makatazo ya Allah juu ya uchafu wa zinaa na kuto kuikaribia zinaa, pia amezungumzia nyumba za zinaa. 2- Mada hii inazungumzia: sifa za watu wema na adhabu za wazinifu, kisha amebainisha....

Image

Zama za Fitna - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Zama za fitna na kwamba nilazima watu wachukue tahadhari, pia imezungumzia umuhimu wa kutafuta elim yenye manhji ya kufuata sunna za Mtume (s.a.w). 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislam madhubuti katika imani yake, pia imezungumzia hatari ya kufuata au kufanya jambo bila ya elim, nakwamba....

Image

Umuhimu wa Ibada ya hija - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Hija na kwamba (Alqaaba), na ameeleza kuhusu Maqamu Ibrahima, pia imezungumzia namna ilivyojengwa Alqaaba na chanzo cha kuswali rakaa mbili nyuma ya maqamu Ibrahima. 2- Mada hii inazungumzia: Ubora na umuhimu wa kuhiji katika nyumaba ya Allah Tukufu na kwamba ndiyo nyumba ya kwanza....

Image

kuifanyia kazi Qur'ani na mafundisho ya Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake. - (Kiswahili)

Mada imekusanya ushahidi kutoka katika Qur'ani na sunna juu ya ulazima wa kuifanyia kazi Qur'ani na sunna

Image

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hukumu ya kuishi katika miji ya kikafiri na mwongozo kamili kuhusu mambo yanayo takiwa kuyafanya mwislam.

Image

Ubora Wa Elimu Ya Kisheria - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa elimu ya kisheria na utukufu wa mwenye kujifunza elimu huyo.