×
Image

VIPI ANATAKIWA AWE MWANAMKE MWEMA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia mwanamke bora ni Yule mwenye kuimarisha ndoa yake kwa kutekeleza haki za mumewe.

Image

NI NANI KAMA MAMA? - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia ubora wa Mama kwa mwanae, katika jamii na hata mbele ya Allah (S.w)

Image

UHARAMU WA KUJICHUBUA NGOZI NA KUUNGA NYWELE - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uharamu wa kujichubuwa ngozi na kuunga nywele, madhara yake na hukumu ya kisheria katika kufanya hivyo.

Image

KOMBE LA DUNIA (WORLD CUP) NA RAMADHAN - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia fitna ya mpira wa miguu na Ramadhani na khasara ya kupoteza malipo ya mwezi mtukufu na kujishughulisha na kuangalia mpira.