×
Image

Kuswali katika swafu ya kwanza - 20 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Qahaar - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Neema ya kuletwa Mtume (s.a.w) akiwa ni rehma kwa walimwengu wote na umuhimu wa kushukuru juu ya neema uislamu, pia imefafanua maana ya khutbatul-haja .

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 111 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Ubora wa swala ya Alfajiri na swala ya Asri, pia imeelezea umuhimu wa swafu ya kwanza katika Swala.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (14) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: tiba ya madhambi na maasi katika suratu Tahreem, kisha ameelezea maana ya Tawba na umuhimu wake.

Image

Kuswali swala ya Ishaa na Alfajiri kwa jamaa - 19 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Qaahir - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 110 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Malipo ya mwenye kuswali Swala ya Afajiri kisha akamtaja Allah mpaka Jua likachoza ni sawa na malipo ya mtu aliyefanya Hijja na Umra.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (13) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kufanya kheri kabla ya muda kumalizika, kisha ameelezea kuwa binadamu na watu ndio kuni za moto wa jahanam.

Image

Swala ya Jamaa - 18 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Adhwim - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

KUSOMA AYATUL-KURSY NI SABABU YA KUINGIA PEPONI - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia ubora wa Ayatul-kursy, na mwenye kuisoma ni sababu ya yeye kuingia peponi.