×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 106 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Kisa cha kipofu Abdillahi bin Ummi Maktum na hukumu zinazo tolewa katika hadithi hiyo.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (09) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: miongoni mwa faida ya kumuamini Allah ni kupata utulivu wa moyo, kisha akaelezea faida za kuwa na utulivu.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Khaaliq - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah juu ya wake ni kwamba amempa mwanadamu akili na akamfanya kuwa kiumbe bora kuliko, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya toba ya kweli katika masiku ya Hijja

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 105 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Miongoni mwa dalili zinazoonyesha uwajibu wa swala ya jamaa, pia imezungumzia hatari ya kupuuza swala ya jamaa.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (08) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: tiba ya ususuwavu wa moyo, ikiwemo Kumuamini Allah na daraja za kumuamini Allah, kisha akabainisha kuwa imani ndio msingi wa maisha bora

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Khalaaq - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya ukarimu na kwamba ukarimu wa Allah unadhihirika pale mwanadamu atakapojiangali namna alivyoumbwa, pia imezungumzia vitu bora alivyo wapa Allah waja wake kwa ukarimu wake.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 104 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Kauli za Wanachuoni juu ya umuhimu na uwajibu wa Swala ya jamaa.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (07) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: madhara ya kuto kuifuata Quraan pia ameelezea madhara ya kuwazulia watu, na akamalizia kwa kuelezea maana ya kufilisika.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Wakiil - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 103 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Nyakati tano zilizo katazwa kufanya ibada ndani yake, pia imezungumzia hukumu ya mtu aliyepitwa na swala kwa kusahau au kulala.