×
Image

UNYENYEKEVU KATIKA SWALA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia swala yenye unyenyekevu na faida za unyenyekevu katika swala.

Image

HUKUMU YA KUSHEREHEKEA UZAO WA MTUME (S.A.W) - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia hukumu ya kusherehekea uzao wa Mtume (S.A.W).

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 063 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Makatazo ya kuiendea swala na hali umekula kitunguu, pia imeelezea umuhimu wa kujiepusha na mambo yenye kukera watu

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 43 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo muhimu katika swala, pia imezungumzia aina za dua za ufunguzi katika swala.

Image

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi, ameeleza qauli za watu wema katika kuwahusia watu uchamungu, pia amewahusia watu kumcha Allah katika kila Nyanja za maisha.

Image

Imani tatu Kuamini kwa Mungu - (Kiswahili)

Imani tatu Kuamini kwa Mungu

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 062 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwa na utulivu katika swala, pia imeelezea makatazo ya kurukuu kabla ya kufika katika swafu

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 42 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo muhimu ya kufanya kabla ya kuswali, pia imeelezea maana ya takbiiratul ihram (takbiira ya kuhirimia swala).

Image

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi, amezungumzia umuhimu wa kuwahusia watu kumcha Allah, na kwamba watu wema walikuwa wakiwahusia watu kumcha Allah, kama Abubakari na Omar (r.a)

Image

JE,SWALA ZETU ZINA ATHARI KATIKA NAFSI ZETU? - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Athari ya swala zetu katika nafsi zetu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 061 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Makatazo juu ya kutema mate ndani ya msikiti, pia imeelezea makatazo ya kujizuia kutokana na haja ndogo au kubwa wakati wa swala

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 41 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Nini afanye mtu ambae kumeadhiniwa haliyakuwa yupo ndani ya msikiti, pia imeelezea mambo yanayotakiwa kutekelezwa kabla ya kuingia katika swala.