×
Image

Pepo na Moto 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu watakaopata adhabu kali ya Moto wa jahannam ni walaji wa riba, wanachuoni waovu na viongozi madhalimu.

Image

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi anaendelea kutaja faida za Uchamungu kama kupendwa na Allah, kuondolewa na khofu na huzuni.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 40 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Dua baada ya adhana, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba dua baada ya adhana na kuwaombea wazazi, watoto na wengineo katika uislamu.

Image

Pepo na Moto 27 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Watu ambao Mwenyezi Mungu amewaandalia Moto wa jahannam, pia imezungumzia watakavyo tamani watu wa Motoni.

Image

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:.wasia wa Mtume kwa Muadhi amebainisha matunda yanayo patikana katika uchamungu, ni kinga na maaduwi, na atampa nguvu na nusra, na atampa njia ya kujiepusha na matatizo, na kupata wepesi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 39 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna ya kumswalia Mtume (s.a.w) baada ya adhana, pia imezungumzia fadhila anazopata mwenye kumswalia Mtume (s.a.w).

Image

Pepo na Moto 28 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina za adhabu Motoni na mambo ambayo ni sababu kubwa ya kumuingiza mtu Motoni.

Image

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utambulisho wa Muadhi bin Jbal r.a, na nafasi yake kwa mtume na sifa za muadhi, kisha ameeleza wasia wa mtume kwa Muadhi, kasha ameeleza yalio kuja katika wasia ikiwemo maana ya Uchamungu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 38 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo ambayo yanamuhusu Muadhini, pia imezungumzia namna ya kumfuatisha muadhini wakati anapotoa adhana.

Image

Pepo na Moto 29 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu za kumuingiza mtu Motoni ni ukafiri, ushirikina na kuacha kuswali swala tano.

Image

Umuhimu Wa Imani 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuhamasisha watu katika kutafuta elimu, pia imezungumzia chuki za makafiri juu ya waislamu na tofauti kati ya dola ya kiislamu na dola isiyokuwa ya kiislamu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 37 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Adhana ya Bilali (r.a) na Adhana ya Abii Mahdhura (r.a), pia imezungumzia mpangilio wa Adhana.