×
Image

Pepo na Moto 30 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari na mtihani juu ya watu wasiotoa Zaka na hali wanauwezo na kwamba ni sababu ya kujiingiza Motoni wenyewe.

Image

Umuhimu Wa Imani 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utofauti na mgawanyiko wa elimu katika jamii na kwamba kuna elimu ya lazima na elimu isiyo ya lazima, pia imezungumzia umuhimu wa elimu ya dini ambayo ndiyo elimu ya faradhi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 36 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hukumu ya kuadhini ukiwa twahara, pia imezungumzia ubora wa kuadhini kwa sauti nzuri.

Image

Pepo na Moto 31 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia:Miongoni mwa sababu za kumuingiza mtu Motoni ni uovu wa zinaa pamoja na kuwaasi wazazi wawili.

Image

Umuhimu Wa Imani 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswali na majibu, na imefafanua uharamu wa kufanya biashara ya nguruwe na kutumia chumo linalopatikana katika biashara hiyo, pia imezungumzia hatari ya kula haramu na kwamba mwnye kula haramu hata dua yake haijibiwi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 35 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuadhini katika mazingira yoyote, pia imezungumzia ubora kukubali na kufuata haki.

Image

Umuhimu Wa Imani 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari ya kuzua jambo katika dini ya Mwenyezi Mungu na umuhimu wa kufuata Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w), pia imezungumzia uwajibu wa kutafuta elimu kwa kila Muislamu.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 34 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwenye kutoa Adhana anaombewa msamaha na kila chenye kusikia Adhana hiyo, pia imeelezea mitihani wanayopata waadhini wa zama hizi.

Image

Umuhimu Wa Imani 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafundisha watoto Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w) na maadili ya kiislamu, pia imezungumzia ubora wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika matendo, na hatari ya kuiga tabia za kimagharibi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 33 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora wa Adhana na malipo anayopata Muadhini, pia imeelezea umuhimu wa kwenda mapema msikitini.

Image

Pepo na Moto 26 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwalingania watu na kuwatahadharisha na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe.

Image

Umuhimu Wa Imani 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sababu ya Maswahaba kufanya (Hijra ya kwanza) kuhama kutoka Makkah kwenda Habashi na yale waliyo jifunza, pia imezungumzia mbinu, njia na namna ya kufundisha.