×
Image

Pepo na Moto 18 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Watu watakao lipwa malipo mema Peponi, pia imezungumzia umuhimu kwa muislamu kuzidisha kufanya mambo mema duniani.

Image

OGOPENI DUNIA NA WAOGOPENI WANAWAKE - (Kiswahili)

Mada hii imezungumzia uhatari wa kuipenda dunia na wanawake.

Image

Pepo na Moto 17 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina ya mito iliyoko Peponi, pia imezungumzia vinywaji mchanganyiko vilivyoandaliwa kwa ajili ya watu wa Peponi.

Image

Pepo na Moto 16 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema za Peponi ni mito inayopita chini yake, pia imezungumzia msamaha watakao pewa na Allah watu wa Peponi.

Image

Pepo na Moto 15 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema za Peponi ni matunda yenye ladha nzuri, pia imezungumzia mitende na makoma manga ya Peponi.

Image

Vigezo vitatu vinaamini katika vitabu - (Kiswahili)

Vigezo vitatu vinaamini katika vitabu

Image

Pepo na Moto 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema za Peponi ni harufu ya Miski, pia imezungumzia namna ulivyo mkunazi wa Peponi.

Image

Pepo na Moto 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Vyumba vilivyoko Peponi wameandaliwa waumini wenye maneno mazuri, pia imezungumzia ubora wa ukweli na uharam wa uongo.

Image

Mali tatu zinazotolewa - (Kiswahili)

Mali tatu zinazotolewa

Image

Pepo na Moto 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sifa za pepo na vilivyomo, pia imezungumzia nyumba na vyumba viliyoko katika Pepo.

Image

Pepo na Moto 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Daraja ya juu ya Pepo na walioandaliwa daraja hilo, pia imezungumzia tabu ya kupita katika Swiratwi na raha ya kuivuka.

Image

Pepo na Moto 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Daraja za Pepo na sifa za wtu wa Peponi, pia imezungumzia namna watakavyokuwa watu wa Peponi.