×
Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 4 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utukufu wa swala ya Ijumaa, pia imeelezea kuwa ni lazima kwa mwenye kuwajibikiwa na Ijumaa kuhudhuria na kuswali swala ya Ijumaa.

Image

Kusema bismillahi wakati wa kuingia ndani na kula - 60 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

KUKUMBUKA KIFO NO2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa ikhlaswi katika matendo, atakayoulizwa mwanadamu kaburini, na umuhimu wa kushikamana na Sunna.

Image

Fadhila za Quraan tukufu -05 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea fadhila mbalimbali za quraani tukufu kwa njia ya maandishi -05

Image

Faida Za Hadithi ya kutwaarisha Najsi kwa Maji - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Faida mbalimbali zinazopatikana katika hadithi inayozungumzia kuondoa najsi ikiwemo umuhimu wa kujiepusha na najsi.

Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hukumu ya muislamu kusafiri siku ya Ijumaa na amebainisha qauli sahihi katika kujuzu kusafiri siku ya Ijumaa.

Image

Kuhifadhi utupu na ulimi - 59 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Fadhila za Quraan tukufu -04 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea fadhila mbalimbali za quraani tukufu kwa njia ya maandishi -04

Image

Hukumu ya Kugeuza pombe kuwa siki - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uharamu wa kuibadilisha pombe kuwa siki, pia imezungumzia uhatari na ubaya wa pombe.

Image

Adabu Za Safari Katika Uislamu 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyokua akianza safari na dua aliyokuwa akisoma wakati akitoka nyumbani.

Image

Kuacha jambo kwa kumuogopa Mwenyezi Mungu - 58 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 150 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mambo yasiyotakiwa kufanywa siku ya Ijumaa, pia imezungumzia hukumu ya Ijumaa inapokutana na Iddi