×
Image

Maana Ya Pombe - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya neno pombe, pia imefafanua tofauti kati ya pombe na siki.

Image

Mwenye kumuandaa mpiganaji katika nija ya Mwenyezi Mungu - 53 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

KUMBUKA KIFO NO1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuihesabu nafsi, madhambi yanayo sababishwa na simu, na hali za Maswahaba katika kuzihesabu nafsi zao.

Image

Hukumu Ya Kutumia Ngozi Ya Mnyama Aliyekufa Baada Ya Kuitwahirisha - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya sahihi ya neno mzoga, pia imefafanua uhalali wa matumizi ya ngozi ya mnyama aliyekufa baada ya kuitwahirisha.

Image

Ulinzi katika njia ya Mwenyezi Mungu - 52 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Hukumu Ya Kuunga Chombo Kwa Dhahabu Au Fedha - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kuunga chombo kwa kipande cha fedha kama alivyofanya Mtume (s.a.w).

Image

Kupata jeraha atika njia ya Mwenyezi Mungu - 51 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

ITAKAPO FUNGWA MILANGO YA TOBA NO3 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusameheana.

Image

Hukumu Ya Manii Ya Mwanadamu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utwahara wa manii ya mwanadamu, pia imezugumzia namna Aisha (r.a) alivyokuwa akikwangua manii katika nguo ya Mtume (s.a.w).

Image

Kumtembelea mgonjwa - 50 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Hukumu ya Matumizi Ya Vyombo Vya Wasiokuwa Waislamu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uhalali wa kutumia vyombo vya wasiokuwa waislamu baada ya kuvisafisha, pia imefafanua juu ya hukumu ya kuwinda kwa kutumia mbwa.

Image

Hukumu Ya Mkojo Wa Mtoto Wa Kiume Na Wa Kike - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Tofauti katika kutwaharisha mkojo wa mtoto wa kiume na mtoto wa kike ambao hawajaanza kula chakula isipokua maziwa ya mama.