×
Image

71.Nuh - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka

Image

Araheeq Al-Makhtum 20 - (Kiswahili)

Mada hii inamuelezea Abuu Twalib alipo mnusuru Mtume Muhammad (s.a.w) na kumpa msimamo.

Image

72.Al-Jinn - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka

Image

Araheeq Al-Makhtum 19 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea vitisho vya Maquresh kwa Abuu Twalib kwajili ya mtume Muhammad (s.a.w).

Image

Araheeq Al-Makhtum 18 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea kisa cha kundi la Maquresh walivyoenda kumshitaki Mtume Muhammad (s.a.w) kwa Abuu Twalib.

Image

Araheeq Al-Makhtum 17 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea chuki za makafiri kwa waislamu na imeelezea baadhi ya mifano.

Image

Araheeq Al-Makhtum 16 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea namna Maswahaba (r.a) walivyotoa mali zao kwa ajili ya Allah, mfano wa Abubakar Swiddiq na wengineo.

Image

Araheeq Al-Makhtum 15 - (Kiswahili)

Mada hii inatahadharisha juu ya kuwadharau Maswahaba na imezungumzia namna alivyo silimu Swahaba mwanamke Zinirah (r.a).

Image

UBORA WA SIKU YA ARAFA - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia ubora wasiku ya Arafa na maana ya siku ya arafa na neema kubwa ya Allah kwa waja wake katika siku ya Arafa.

Image

Araheeq Al-Makhtum 14 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea mashaka waliyoyapata Maswahaba katika njia ya Allah na namna walivyo fanya subra.

Image

UBORA WA SIKU KUMI ZA MFUNGO TATU - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya mfungo tatu,na sababu yakuyafanya yawe ora,na rehma ya Allah katika masiku hayo,na kufadhilisha Allah badhi ya viumbe vyake kwa vingine.

Image

Araheeq Al-Makhtum 13 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea subra aliyoifanya Swahaba Bilal bin Rabaah kwa ajili ya Allah.