×
Image

MIEZI MINNE MITUKUFU - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia miezi mitukufu na ubainifu wake kwa majina,na malipo ya mwenye kutenda mema na maovu,na sababu ya kuitwa miezi hiyo,namatendo mema aliyo tuongoza mtume tuyafanye.

Image

Araheeq Al-Makhtum 12 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea faida zinazopatikana katika kisa cha Swahaba Suhaib Alrumi na umuhimu wa kufanya subra kwa ajili ya Allah.

Image

VIJANA BAINA YA NDOA NA MASOMO - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia uwezekano wa kijana kuowa akiwa masomoni.

Image

KHATARI YA KULA RIBA - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia uhatari wakula riba na milango ya riba na adhabu za mla riba na uharamu wa kuwekeza katika mabenki ya riba na namna wanavyo patwa watu na vumbi la riba,na adhabu za mla riba.

Image

Araheeq Al-Makhtum 11 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea kisa cha Swahaba Suhaibu Alrumi Allah amridhie na namna alivyoteseka kwajili ya Allah.

Image

Nasaha za vitendo vya Hijja 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hijja ni wito na kwamba ni muhimu kujitahidi kufanya ibada katika masiku ya Hijja nakumuomba Allah sana ili kupata radhi za Allah katika masiku yahija matukufu.

Image

KUMUASI ALLAH KWAAJILI YA MAPENZI - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Janga la kumuasi Allha jwasababu ya mapenzi na tiba ya maasi hayo.

Image

Araheeq Al-Makhtum 10 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea subra waliyofanya Maswahaba katika kutetea Uislam.

Image

Nasaha za vitendo vya Hijja 1 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Siku ya Arafa na fadhila zake na kwamba Hijja haikamiliki bila ya kusimama Arafa na ni siku ambayo dua zinajibiwa, pia imezungumzia umuhimu wa kushukuru neema za Allah.

Image

Araheeq Al-Makhtum 09 - (Kiswahili)

Mada hii inawaelezea Maswahaba walioteswa kwajili ya Allah na mafunzo waliyo yapata kutoka kwa Mtume Muhammad (s.a.w).

Image

Matendo katika siku za mina (Tashriq) 2 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayofanywa katika siku za Minah nayo: kurusha mawe na kunyoa nywele nakuchinja, kisha amebainisha wakati anaotakiwa alhaji kuvuwa ihram, na inatakiwa kwa alhaji kukithirisha kumtaja Allah.

Image

Araheeq Al-Makhtum 08 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea uharamu wa kuwatukana Maswahaba na inatahadharisha kukaa kwenye vikao ambavyo vinawazungumzia vibaya maswahaba.