×
Image

70.Al-Ma’arij - (Kiswahili)

Msahafu mwalimu ulio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa sauti ya msomaji Shekh Muhammad Siddiq Al Minshawi, ambapo anasoma msomaji kisha inajirudia sauti yake kwa haraka

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 39 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyosema wakati wa uhai wake Mtume (s.a.w) na yakatokea baada ya kufa kwake, miongoni mwa hayo ni maneno aliyosema kwamba zitakuja zama za fitna na watu watauana sana.

Image

Kulaani -56 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 38 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea kwa Abuu Jahli alipotaka kumdondoshea jiwe Mtume (s.a.w) wakati akiswali, lile jiwe likamng’ang’ania mikononi, pia imezungumzia muujizaa Mtume (s.a.w) uliotokea kwa Fudhwaala bin Ubaad (r.a).

Image

Acha Athari Njema 09 - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu umuhimu wa kuchukua takwimu kwa tunayo yafanya ili tuzidishe kuacha Athari baada ya kufa.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 37 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni maneno aliyombashiria mwanae Fatwima (r.a) kwamba baada ya kufa Mtume (s.a.w) yeye ndiye atakaekuwa wa kwanza kumfuata katika familia yake, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) kwa Abuu Jahli baada kumdhulum mtu ngamia.

Image

Acha Athari Njema 08 - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu Umuhimu wa kushindana katika kufanya khairat na niwajibu kwetu kuacha kwa ajili ya vizazi vyetu Athari njema.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 36 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni Muujiza uliotokea kwa Khaatwib bin Abi Balta’a (r.a) alipoandika barua na kuituma Mkka ili kutoa siri ya kivita, Mtume (s.a.w) akajua kabla barua haijafika Makka.

Image

Swaumu Ya Ashuraa - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa swaumu ya ashuraa na utukufu wa allah wa kusamehe madhambi katika siku ya ashura.

Image

Acha Athari Njema 07 - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu mifano ya watu walio acha athari njema akiwemo Shekh Muhamad Omar Al Amudy aliye anzisha nidham ya kusoma shule na madrasa islamiya kwa wanafunzi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 35 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kuzungumzia mambo ambayo ni ya ghaibu kama alivyo wabashiria Maswahaba pepo na kuwaeleza fitna zitakazo wapata waka wa ukhalifa, pia imezungumzia umuhimu wa muislam kujiepusha na fitna.

Image

KIZUIZI CHA MWENYE KUSWALI - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kuweka kiziwizi wakati wa kuswali,na namna ya kufanya akipita mtu mbele ya mwenye kuswali,na vitu venye kutengua swala vikipita mbele,na anaetakiwa kuweka kiziwizi.