×
Image

Sherhu Umdatul Ahkam 11 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: mlango wa kwanza katika kitabu cha Umdatul Ahkam, kisha akabainisha maana ya twahara, kisha akaanza kusherehesha hadithi yakwanza na kutaja historia fupi ya maisha ya Omar bin Khatwab kwa ufupi (r.a).

Image

Riba -41 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua ya mwenye kupiga chafya - 10 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 15 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Maimuna bint Harith na kwamba ni katika wakeze Mtume (s.a.w) waliosifika na ucha Mungu, pia imeelezea habari za bi Fatwima na Ally bin Abiy Twalib (r.a).

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 10 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Jinsi zilivyo kusanywa hadithi, kisha amebainisha namna ya kusherehesha hadithi ikiwemo kusoma hadithi kisha kufafanua maneno ya kiarabu kisha kubainisha faida zilizo patiana katika hadithi.

Image

Kutesa wanyama -40 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua ya kumuombea mwenye kukwambia anakupenda kwa ajili ya Allah - 09 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzinduo kwa akina mama wa kiislamu na kuwausia kufuata mwenendo wa nyumba ya Mtume (s.a.w), pia imezungumzia idadi ya wakeze Mtume (s.a.w), na umuhimu wa kufanya uadilifu na sulhu katika ndoa.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 09 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: maana ya Bismilahi aliyo iandika mtunzi wa kitabu kabla hajaanza kuzungumzia mlango wa twahara, na sababu ya kuanza na bismilahi kisha akazungumzia umuhimu wa kuanza na bismilahi katika kila jambo.

Image

Kumtaja Allah kuna nawirisha moyo na kunaleta Hayba -15 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Kufuga mbwa -39 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua pindi jogoo anapo wika au sauti ya punda - 08 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.