×
Image

Acha Athari Njema 07 - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu mifano ya watu walio acha athari njema akiwemo Shekh Muhamad Omar Al Amudy aliye anzisha nidham ya kusoma shule na madrasa islamiya kwa wanafunzi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 35 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kuzungumzia mambo ambayo ni ya ghaibu kama alivyo wabashiria Maswahaba pepo na kuwaeleza fitna zitakazo wapata waka wa ukhalifa, pia imezungumzia umuhimu wa muislam kujiepusha na fitna.

Image

Kuukaribisha mwezi wa Ramadhani - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Namna ya kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan, pia imezungumzia kujiandaa kiibada na twaa ya kweli kabla ya kuingia Mwezi wa Ramadhan, na kuzidisha ibada na matendo mema ndani ya Mwezi wa Ramadhan.

Image

KIZUIZI CHA MWENYE KUSWALI - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kuweka kiziwizi wakati wa kuswali,na namna ya kufanya akipita mtu mbele ya mwenye kuswali,na vitu venye kutengua swala vikipita mbele,na anaetakiwa kuweka kiziwizi.

Image

Sababu Za Ugomvi Katika Ndoa - (Kiswahili)

Makala hii inazunguzia: Sababu za ugomvi katika ndoa amezungumzia sababu ya magomvi nikukosekana elimu ya ndoa kabla ya kuoa, pia amezungumzia haki za mke kwa mume wake.

Image

Acha Athari Njema 06 - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu baadhi ya mifano ya watu wema walioacha athari njema kama ShekhAbdallah Farsi Mtunzi wa Tafsiri ya ya Quran Tukufu kwa lugha ya kiswahili.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 34 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kwamba aliyomuombea dua Qaisi bin Zaidi (r.a) kisha akapangusa kichwa chake sehem ile aliyoigusa Mtume (s.a.w) haikuota mvi mpaka anakufa, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.w.a) kwa Abuu Hurera (r.a).

Image

KUOGA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia kuoga,maana yake,na nyakati za wajibu kuoga,na jinsi alivyo oga mtume s.a.w,namna ya kuoga janaba, na hedhi na nifasi,ukumbusho muhimu.

Image

Acha Athari Njema 05 - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu ibn umar R.A katika wengi wa kupokea hadithi za mtume na kumfata sunna zake.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 33 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni muujiza uliotokea kwa Ummu Maabad wa kutoa maziwa katika mbuzi asiye na maziwa, pia imezungumzia namna Mtume (s.a.w) alivyosafishwa na Allah.

Image

USIFUATE MAMBO AMBAYO HUNA ELIMU NAYO - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea ubora wa elimu na hatari ya kufuata mambo ambayo huna elimu nayo.

Image

Kupangusa juu ya kofu mbili - (Kiswahili)

Mada yakuona kwalugha ya Kiswahili inazungumzia hukumu ya kupangusa juu ya khofu mbili.