×
Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 9 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kisa cha uzushi aliozushiwa mama Aisha (r.a) na kwamba madhara ya ulimi ni makubwa kulikoupanga, pia imezungumzia hatari na ubaya wa uzushi katika uislamu.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 04 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Umuhimu wa elimu ya hadithi, kisha amebainisha kwamba asiye amini kuwa hadithi ni hoja basi atakuwa adui wa uislam, kisha amebainisha maana ya kumtii mtume (s.a.w)

Image

NDOTO NJEMA - (Kiswahili)

NDOTO NJEMA

Image

Kubainisha Haki - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusimama na kuitangaza haki, na kwamba kuibanisha haki ni wajibu kwa wenye elimu na ni sababu ya msingi katika kuihifadhi dini na hukumu zake, imezungumzia pia namna Mtume (s.a.w) alivyoibainisha haki

Image

Kumtaja Allah sana ni alama ya imani yenye nguvu, na kumtaja kidogo nialama ya udhaifu wa imani -10 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Kunywa kwa kutumia vyombo vya dhahabu na fedha -34 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Anayoyafanya mwenye kuota ndoto njema au mbaya - 03 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.

Image

Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 8 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kujifunza na kuiga namna Mtume (s.a.w) alivyoishi na wake zake ili kuzijenga familia katika uislamu wa kweli, pia imezungumzia hatari ya kuvuka mipaka na kuipotosha jamii.

Image

Sherhu Umdatul Ahkam 03 - (Kiswahili)

Shekh anazungumzia: Wadhfa wa Hadithi za Mtume (s.a.w) na kwamba zinaweka wazi na kufafanua namna ya utekelezaji wa amri za Qur’an tukufu, pia amezungumza maneno ya Imamu Suyutwi kuhusu cheo cha hadithi za mtume(s.a.w).

Image

Kumtaja Allah ninguvu ya moyo na niutulivu wa moyo -09 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Kunywa kwa kusimama na katika mdomo wa chombo -33 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Dua ya wasiwasi usingizini au kusikia uoga na mfazaiko - 02 - (Kiswahili)

Mrorongo wa Nyiradi na dua mbalimbali ambazo nimuhimu katika maisha ya muislam, ambazo zimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.