×
Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 124 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Hukumu ya kuswali swala ya faradhi, pia imezungumzia hatari ya kuichelewesha swala katika wakati wake.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (27) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: namna walivyo tubiya mitume wa Allah kama nabii Yunus alayhi salaam, kisha akabainisha kuwa mja kuacha kutubiya ni kuidhulumu nafsi yake.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Maaliku - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 123 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Hukumu ya mwenyeji kuswali nyuma ya msafiri, pamoja na hukumu mbali mbali za Uimamu.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (26) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: kuwa bawba ni njia ya Mitume, kisha amebainisha kuwa uadui wa Shetani na mwanadamu ulianza tangu kwa Adamu alayhi salaam.

Image

Kusoma Ayat Kursiyy baada ya swala ya faradhi - 30 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo amrishwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Al-Maliku - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kutimiza lengo la ndoa na umuhimu wa wanawake wa kiislamu kumuiga Mama Aisha (r.a), pia imezungumzia umuhimu wa subra kwa wana ndoa.

Image

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 122 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea: Hukumu ya mwanamke kuwaswalisha wanawake wenzake, pia imezungumzia stara ya mwanamke ndani na nje ya swala.

Image

Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (25) - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: katika malezi ya qur’an nikutend yale yanayo mridhisha Allah, kisha amebainisha kwamba mtu atafufuliwa na Yule anae mpenda.

Image

Majina ya Mwenzezi Mungu - Ad-Dayyan - (Kiswahili)

Haya ni majina 99 ya Mwenyezi Mungu yalio tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.

Image

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kufanya uadilifu ndani ya ndoa na namna Aisha (r.a) alivyojifakharisha kwa Mtume (s.a.w) wakati wa uhai wake na kabla ya kufa kwake (s.a.w), pia imezungumzia tukio la kufa Mtume (s.a.w).