×
Image

Utamu wa ndoa 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yenye kuleta utamu katika ndoa ni mwanamke kumtii mumewe, pia imezungumzia ukamilifu wa twaa na faida zake.

Image

Khutma ya Mkosi - (Kiswahili)

1. Mada hii inazungumzia khutba ya mkosi na sababu ya kuitwa hivyo pia amezungumzia vitisho vya siku ya Qiyama. 2. Mada hii inakamilisha mada iliyo pita imeelezea hali za watu wamotoni na vyakula vyao na nguo zao, pia mezungumzia maneno ya shetani atakayo zungumza motoni.

Image

Kuapa katika biashara -19 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Utamu wa ndoa 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Aina za mashetani hatari kwa kuvunja ndoa za watu, na kwamba ni muhimu kwa wana ndoa kuchukua tahadhari juu ya mashetani hao, pia imezungumzia miongoni mwa mambo yanayoleta utamu katika ndoa.

Image

Kiapo cha uongo -18 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 21 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni makundi aliyo onyeshwa katika umati wake, pia imezungumzia miujiza aliyoacha ameisema na inaendelea kutokea mpaka kiyama kitasimama.

Image

Utamu wa ndoa 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utamu wa ndoa, na kwamba ili mtu apate ladha na utamu wa ndoa sharti atafute mwanamke au mwanaume mwema, pia imezungumzia umuhimu kwa wanandoa kusameheana ktk ndoa.

Image

Matamshi yaliyokatazwa, na matamshi ya shirk, na msimamo wa muislam juu ya hayo - (Kiswahili)

Matamshi yaliyokatazwa, na matamshi ya shirk, na msimamo wa muislam juu ya hayo

Image

Ibada ndogo zenye malipo makubwa - (Kiswahili)

Mada hii ya sauti inazungumzia Ubora wa kumtaja Allah na Ibada ndogo zenye malipo mengi bishara ya mtume (s.a.w) kwamwenye kufanya dhikri, dhikri nikupandikiza mtende peponi.

Image

Kuwakera wanaosali -16 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Kuomboleza kwa mayowe -15 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Mwanamke kusafiri bila ya Maharimu -14 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.