×
Image

MIONGONI MWA HAKI ZA MUME - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Haki za mume juu ya mkewe na kwamba mwanamke mwenye kumtii mumewe ataambiwa aingie Peponi kupitia mlango autakao katika milango nane.

Image

Kutafuta elimu kwa ajili ya dunia -08 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

SUBIRA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa kusubiri na kuvumilia katika mambo mazito, imezungumzia pia utofauti wa malipo mema kwa watu wema na malipo mabaya kwa watu waovu.

Image

Mwenye kurejea katika kitu alichotoa -07 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 16 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Miujiza ya mtume (s.a.w) imezungumzia muujiza wa mtume katika vita vya Hunaini alipo rusha mchanga kila mtu ukampata kila adui ule mchanga wakakimbia, pia katika miujiza ya mtume ni miujiza ya dua, pia amezungumzia mujiza wa kuomba mvua.

Image

BINTI ALIE PATA MALEZI BORA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia: Matunda ya malezi bora, pia imezungumzia kisa cha Sayyid Bin Museyyib alipokataa posa ya Abdul Maliki Bin Marwani kwa binti yake.

Image

Wanawamke kujifananisha na wanaume na wanaume kujifananisha na wanawake -06 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Je, pepo na moto vipo? - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea maswali muhimu katika maisha ya muislam kwa njia ya maandishi.

Image

Je! Katika Nafsi Zenu Hamzingatii - (Kiswahili)

Madaa hii inazungumzia: Umuhimu wa kuzingatia katika neema za Mwenyezi Mungu Mtukufu, na amebainisha neema ya viungo ikiwemo figo na alama za kuharibika kwake, na amebainisha kazi za figo mwilini, mwisho amezungumzia umuhimu wa kushukuru neema na kwamba mwanadamu ataulizwa.

Image

CHANZO CHA WAISLAM KUGANYIKA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mashekh kukosa msimamo katika Da’awah ni chanzo cha waislamu kugawanyika katika jamii, imezungumzia pia Wanachuoni walikhitilafiana lakina hawakufarakana.

Image

Kuwekeana kinyongo baina ya Waislamu -05 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Image

Ni fitna (mtihani) upi utakao watokea watu? - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea maswali muhimu katika maisha ya muislam kwa njia ya maandishi.